Uchaguzi 2020 Wana CHADEMA tuwe tayari kwa lolote; Lissu, Mbowe, Nyalandu, Membe na gia za angani ikilazimika zisiwayumbishe tusimame pamoja

Wana CDM mnapaswa kuwa kitu kimoja na kuamua kukubaliana la sivyo mtasambaratishwa. Kinachowashikamanisha ccm ni hofu ya kukosa keki (madaraka), lakini hofu hiyo haipo kwa CDM sana. Hivyo inabidi watu wawe na upeo mkubwa sana kuwa na umoja kwa ajili ya Chama. CCM itasambaratika kama nyumba mbovu siku wakipoteza madaraka, lakini kwa sasa hofu ya kukosa keki ndio inayowapa discipline.
CDM ipo kitu kimoja from its start to date na hatuwezi kuwa wamoja kwenye suala la siasa za kuokoteza wagombea ni useless politics.

Mtu kama Membe kwa uelewa wako anauwezo wowote wa kiuongozi kuweza kuongoza mageuzi ?

Kwenye katiba mpya aliunga mkono upande wa shetani dhidi ya wananchi kuna kipi kimebadilika sasa mpaka awe sehemu ya mageuzi?
 
mkuu Zitto alivyo mkaribisha Membe siyo mpinzani?

Hiyo ACT ilianzishwa na kina JK, Membe, Mwigulu nk kama backup ya ccm kupambana na cdm. Magufuli alivyoingia akakata supply kwa kambi ya JK, huo ndio mwanzo wa Zito kuwa adui na serikali ya ccm. Kwakuwa Membe ndio mfadhili mkubwa wa ACT, anataka kurudi, ila anajua cdm ndio yenye wafuasi wengi wa upinzani, hivyo anashawishi ACT ifanye juu chini kuungana na cdm. Kwahiyo ni kweli Zito ni mpinzani, ila ni mpinzani katika mazingira hayo ya ccm JK.
 
CDM ipo kitu kimoja from its start to date na hatuwezi kuwa wamoja kwenye suala la siasa za kuokoteza wagombea ni useless politics.

Mtu kama Membe kwa uelewa wako anauwezo wowote wa kiuongozi kuweza kuongoza mageuzi ?

Kwenye katiba mpya aliunga mkono upande wa shetani dhidi ya wananchi kuna kipi kimebadilika sasa mpaka awe sehemu ya mageuzi?
Ndio maana nilisema wengi hawaelewi na sasa nasema na wewe huelewi. Ni hivi kwa sasa wana CDM tukikosea na kuanza kuangalia nani ana mapungufu yapi tutashindwa vibaya sana. Na ndio UMOJA ninaozungumzia hapa. CCM hawakuangalia mapungufu ya Magufuli pamoja na kwamba anayo mengi mno mno, wamekuwa kitu kimoja na ndicho kinachokuwa na nguvu. Tukiweza kuvunja umoja wao basi tutawadhoofisha na kuwa na nguvu zaidi, hivyo nasi tuwe na umoja walau kwa wakati huu muhimu. Kinacho matter sasa sio suala la mapungufu ya mtu ni umoja, tunaweza kumsimamisha hata wewe usiyejulikana lakini tukiwa na umoja mafanikio yatakuwepo.
 
Kumbe wakati mwingine unakuwaga na mawazo mazuri namna hii, unakwamaga wapi mkuu mana kuna wakitu huwa unashangaza!

Mwenye mawazo mazuri kwako ni anayempamba Magufuli. Nina mawazo huru na wala sio msujudia watu.
 
Mnatuandaa kisaikolojia au siyo. Muda ukifika tutaelewana maana mmeshatuona mazwazwa.
 
Chadema chini ya Mbowe kamwe haiwezi kupata kura zaidi ya laki 6.
Mtakuja kuniambia.
Kama kuna kitu kinawatia watanzania kichefuchefu cha Kwanza ni Shetani halafu huyo Mwenyekiti wenu aliyeua Demokrasia ndani ya Chadema kwa kujiona ana akili sana ya kuongoza na kubadili gia angani?
Amebanwa kidogo tu amechanganyikiwa na kushindwa kabisa kujua mbinu za kuongoza mapambano.
Chadema kwa sasa kinaendeshwa na akina mama jasiri peke yao. Mbowe amechanganyikiwa amebaki kunywa KVant na Konyagi huku akimuona kila MTU ni adui yake.

Chadema kilishakufa siku Mbowe na Genge lake walipoamua kubadili Katiba ya Chama na kujimilikisha Chama.
Nguvu Lowasa ndiyo iliyoiokoa Chadema mwaka 2015 alipohamia Chadema.

Kwa sasa Upinzani upo ACT .
Chama kinachowaandaa wanachama wake kiitikadi na kuwa Tayari kupigania Demokrasia lakini Sio Chadema chini ya Mamluki Mbowe na mnufaika mkubwa wa TANU na CCM tangu baba yake.

Kama mnabisha Mpitisheni Mbowe agombee Kupitia Chadema kama atapata kura zaidi ya 300,000.!!

Wapinzani wajiweke pembeni tu kama kweli tuna wapinzani Tanzania wenye ujuzi na mbinu za kisiasa.

Tuwashauri sana Chadema kuepuka Chuki binafsi za Mbowe kuzichanganya na chama.
Mbowe aliingiza chuki binafsi baada ya kuvunjiwa Club yake na nyanya zake kufyekwa.
Alipaswa atafakari sana kabla ya kuhamisha hasira zake kwa watanzania na serikali .
Lowasa hakuwa mjinga alipotolewa kwenye uwaziri mkuu alikaa kimya akaibuka wakati wa uchaguzi.

Wapinzani wamwachie Magufuli tu wajikite kwanye udiwani na Ubunge.
Mashindano yatakayokuwapo ni kila mkoa kuonyesha kuwa wamepata kura nyingi za urais kuliko mingine.
Wakuu wa mikoa na wilaya wote ni makada wa CCM na wote ni watu wasiojali kitu chochote zaidi ya nafasi zao.
Wapinzani wataponea wapi.?

Mbowe rudi Hai kagombee Ubunge,
urais Mwachie Magufuli.

Lisu, Membe na Nayarandu wasijiaibishe na kupoteza majimbo yao kwa kukimbilia Urais amabao hawata pata Chini ya Chama cha MTU binafsi.
 
Ndio maana nilisema wengi hawaelewi na sasa nasema na wewe huelewi. Ni hivi kwa sasa wana CDM tukikosea na kuanza kuangalia nani ana mapungufu yapi tutashindwa vibaya sana. Na ndio UMOJA ninaozungumzia hapa. CCM hawakuangalia mapungufu ya Magufuli pamoja na kwamba anayo mengi mno mno, wamekuwa kitu kimoja na ndicho kinachokuwa na nguvu. Tukiweza kuvunja umoja wao basi tutawadhoofisha na kuwa na nguvu zaidi, hivyo nasi tuwe na umoja walau kwa wakati huu muhimu. Kinacho matter sasa sio suala la mapungufu ya mtu ni umoja, tunaweza kumsimamisha hata wewe usiyejulikana lakini tukiwa na umoja mafanikio yatakuwepo.
Hoja yako unaizungusha kwenye makundi ya CCM Magufuli, binafsi sijajua mpaka sasa hivi kama na Chadema kuna hayo makundi zaidi ya story za watu mitandaoni, hivyo siwezi kuthibitisha hili na sijui wewe umelithibitishaje, lakini mbele unazungumzia umoja kama ndio nyenzo muhimu kuelekea kwenye ushindi na unatoa mfano hata wa mtu asiefahamika anavyoweza kushinda pakiwa na umoja.

Basi ingependeza zaidi huo umoja unaouzungumzia apewe mgombea kutokea Chadema, na asiwe mgeni kutoka popote, naamini hata wewe utaipenda hii.
 
Mwenye mawazo mazuri kwako ni anayempamba Magufuli. Nina mawazo huru na wala sio msujudia watu.
Hapo nimekwambia una mawazo mazuri, kwani kuna mtu uliye msifia au kumsujudi kwenye hiyo comment yako mkuu?
 
Chadema chini ya Mbowe kamwe haiwezi kupata kura zaidi ya laki 6.
Mtakuja kuniambia.
Kama kuna kitu kinawatia watanzania kichefuchefu cha Kwanza ni Shetani halafu huyo Mwenyekiti wenu aliyeua Demokrasia ndani ya Chadema kwa kujiona ana akili sana ya kuongoza na kubadili gia angani?
Amebanwa kidogo tu amechanganyikiwa na kushindwa kabisa kujua mbinu za kuongoza mapambano.
Chadema kwa sasa kinaendeshwa na akina mama jasiri peke yao. Mbowe amechanganyikiwa amebaki kunywa KVant na Konyagi huku akimuona kila MTU ni adui yake.

Chadema kilishakufa siku Mbowe na Genge lake walipoamua kubadili Katiba ya Chama na kujimilikisha Chama.
Nguvu Lowasa ndiyo iliyoiokoa Chadema mwaka 2015 alipohamia Chadema.

Kwa sasa Upinzani upo ACT .
Chama kinachowaandaa wanachama wake kiitikadi na kuwa Tayari kupigania Demokrasia lakini Sio Chadema chini ya Mamluki Mbowe na mnufaika mkubwa wa TANU na CCM tangu baba yake.

Kama mnabisha Mpitisheni Mbowe agombee Kupitia Chadema kama atapata kura zaidi ya 300,000.!!

Wapinzani wajiweke pembeni tu kama kweli tuna wapinzani Tanzania wenye ujuzi na mbinu za kisiasa.

Tuwashauri sana Chadema kuepuka Chuki binafsi za Mbowe kuzichanganya na chama.
Mbowe aliingiza chuki binafsi baada ya kuvunjiwa Club yake na nyanya zake kufyekwa.
Alipaswa atafakari sana kabla ya kuhamisha hasira zake kwa watanzania na serikali .
Lowasa hakuwa mjinga alipotolewa kwenye uwaziri mkuu alikaa kimya akaibuka wakati wa uchaguzi.

Wapinzani wamwachie Magufuli tu wajikite kwanye udiwani na Ubunge.
Mashindano yatakayokuwapo ni kila mkoa kuonyesha kuwa wamepata kura nyingi za urais kuliko mingine.
Wakuu wa mikoa na wilaya wote ni makada wa CCM na wote ni watu wasiojali kitu chochote zaidi ya nafasi zao.
Wapinzani wataponea wapi.?

Mbowe rudi Hai kagombee Ubunge,
urais Mwachie Magufuli.

Lisu, Membe na Nayarandu wasijiaibishe na kupoteza majimbo yao kwa kukimbilia Urais amabao hawata pata Chini ya Chama cha MTU binafsi.
Umeropoka haswa!.
 
Namhurumia Lissu tu, amejitutumua we...
Wewe ni km nani mpk umuhurumie Lisu? Mbona mlipommiminia risasi hukumuonea huruma? Wacha unafiki bwamdogo. Wewe kazi yako ni kuramba viatu vya mabwana zako wa CCM Ili upate shibe ya tumbo lako sio kuwaonea huruma viongozi wa upinzani.
 
Ndio maana nilisema wengi hawaelewi na sasa nasema na wewe huelewi. Ni hivi kwa sasa wana CDM tukikosea na kuanza kuangalia nani ana mapungufu yapi tutashindwa vibaya sana. Na ndio UMOJA ninaozungumzia hapa. CCM hawakuangalia mapungufu ya Magufuli pamoja na kwamba anayo mengi mno mno, wamekuwa kitu kimoja na ndicho kinachokuwa na nguvu. Tukiweza kuvunja umoja wao basi tutawadhoofisha na kuwa na nguvu zaidi, hivyo nasi tuwe na umoja walau kwa wakati huu muhimu. Kinacho matter sasa sio suala la mapungufu ya mtu ni umoja, tunaweza kumsimamisha hata wewe usiyejulikana lakini tukiwa na umoja mafanikio yatakuwepo.
Kumpa Membe awe mgombea wa upinzani ni kuvunja umoja huo unaousema.

Ukitumia uwezo wako wa uelewa kiwe kipimo cha uelewa wangu wewe ndiyo unakuwa hauelewi siasa.

Huwezi kulazimisha umoja wa kisiasa kwenye mambo ya hovyo CHADEMA hakipaswi kushika madaraka kwa kutumia watu wa hovyo, nia ya kushika madaraka ni kubadili maisha ya wananchi hatuwezi kutumia watu wa hovyo kwenda kubadilisha maisha ya watu.

Siasa ni mitazamo mtazamo wako wewe hauwezi kuwa yardstick ya mitazamo yangu na kunibrand kuwa sielewi yumkini naijua siasa kuliko unavyoijua wewe.

Membe aende kwenye vyama visivyo na wanachama huko akagombee urais siyo CHADEMA huku tunao wagombea wengi wenye uwezo na ushawishi mkubwa kuliko Membe.
 
Namwonea huruma Kwasababu pamoja na uropokaji wake, Mbowe anataka amchinjie baharini
Wewe ni km nani mpk umuhurumie Lisu? Mbona mlipommiminia risasi hukumuonea huruma? Wacha unafiki bwamdogo. Wewe kazi yako ni kuramba viatu vya mabwana zako wa CCM Ili upate shibe ya tumbo lako sio kuwaonea huruma viongozi wa upinzani.
 
Ndio maana nilisema wengi hawaelewi na sasa nasema na wewe huelewi. Ni hivi kwa sasa wana CDM tukikosea na kuanza kuangalia nani ana mapungufu yapi tutashindwa vibaya sana. Na ndio UMOJA ninaozungumzia hapa. CCM hawakuangalia mapungufu ya Magufuli pamoja na kwamba anayo mengi mno mno, wamekuwa kitu kimoja na ndicho kinachokuwa na nguvu. Tukiweza kuvunja umoja wao basi tutawadhoofisha na kuwa na nguvu zaidi, hivyo nasi tuwe na umoja walau kwa wakati huu muhimu. Kinacho matter sasa sio suala la mapungufu ya mtu ni umoja, tunaweza kumsimamisha hata wewe usiyejulikana lakini tukiwa na umoja mafanikio yatakuwepo.
Unalazimisha hoja ya umoja kwa mgeni ambaye hajui hata itikadi ya chama chetu ?

Jaribu kufikiri sawa sawa labda kama una maslahi yako binafsi kwa Membe.
 
Kumbuka wanachama wengi sana CDM wametoka CCM. Waliozaliwa CDM ni wachache na ndivyo siasa zilivyo. Uingereza wanabadilisha vyama kila miaka 4 au 8 unafikiri kuna wanachama wapya au ni wale wale wa upande mmoja wanaamua kusapoti upande mwingine? Tuwe flexible itatusaidia CDM sio dhehebu ni uwanja wa demokrasia.
Wanachama wanapigia kura upinzani sio mpinzani kupewa mandate ya kuongoza chama pinzani yake
 
Kumbuka wanachama wengi sana CDM wametoka CCM. Waliozaliwa CDM ni wachache na ndivyo siasa zilivyo. Uingereza wanabadilisha vyama kila miaka 4 au 8 unafikiri kuna wanachama wapya au ni wale wale wa upande mmoja wanaamua kusapoti upande mwingine? Tuwe flexible itatusaidia CDM sio dhehebu ni uwanja wa demokrasia.

Kuhama chama sio tatizo ila kugombea nafasi ndio tatizo inatia mashaka sana mgeni nyumbnmani kwako kumkabidhi madaraka ya nyumba yako yy kama anahitaji upinzani ni lazima kwanza ajifunze tabia ya upinzani akisha komaa apewe uongozi
 
Umoja wetu ndiyo ushindi wetu na ndiyo kichinjio cha ccm
Mnajua jinsi awamu ya 5 "ilivyofanikiwa" kwa kutumia propaganda pekee. Leo hii Magufuli angekataliwa kugombea CCM sio ajabu angejiunga CHADEMA na kutimiza ndoto yake. Siasa ndivyo zilivyo, tuwe tayari kwa lolote hata kama ni "kubadilisha gia angani" kama inatusaidia sawa. Magufuli ametumia kila njia kuua upinzani kama mnavyojua, sisi tukijifanya ooh kwanini Nyalandu, kwanini Membe, Mbowe, etc tutaishia kugawanyika na kuwa dhaifu.

Tuwe na lengo MOJA, kushinda uchaguzi kwa njia yoyote ile inayokubalika na inayofanya kazi. Wana CHADEMA jueni kwamba CCM wanafuatilia mienendo yote na wanaogopa sana maamuzi ya CHADEMA. Itakuwa vibaya sana kama tutaruhusu kugawanyika kutokana na maamuzi ya Kamati Kuu ya CHADEMA. Tusimamie malengo yetu makubwa ambayo ni kuitoa CCM madarakani. Magufuli amekuwa na madhaifu mengi sana kuliko rais mwingine yeyote Tanzania ila CCM wameamua kumbeba kuliko kuanza kuzungumzia madhaifu yake, CHADEMA tunapaswa kuwa hivyo wakati huu muhimu.
 
fazili,

Hatuwezi kuendelea kupokea kizazi cha shetani na kukipa nafasi ya kutuongoza.

Chadema tulianza na Mungu na tutamaliza na Mungu kwanini turuhusu kizazi cha shetani CCM kuwa sehemu ya harakati zetu zinazoongozwa na Mungu?

Tuache njia za mkato
Lengo la chadema ni kuchukua nchi kutoka kwenye makucha ya ccm, hivyo kwa njia yoyote iwezayo kutumika kuiondoa ccm ni muhimu ili mradi iwe inakubalika kwa jamii ya wastaarabu wa kisiasa.
 
Back
Top Bottom