Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 4,151
- 4,277
Usilete mihasira yako hapa maana umeshindwa kuandamana na kuishia kujificha uvunguniWewe mpuuzi kweli.
Unaweza kunipa grounds za kumkamata mtu yoyote hata asiye mwanachadema kuandamana leo?
Mbowe na hao waandamanaji wamevunja sheria gani?
Usifananishe CCM na KANU. CCM ni chama kilicho karibu na watanzania,chama Sikivu,makini na chenye Dira na muelekeo unaoeleweka vyema.Mimi siko katika level za kuishi kwa kumsifia mtu kama machawa humu.
Mimi ninatetea watu kuzuiwa kutumia haki yao kikatiba kuandamana.
Hata siku Chadema ikishika dola ikazuia watu kuandamana nitaipinga pia.
Mwaka 2002 Moi alimuweka Uhuru Kenyatta agombee urais huku akimtosa makamu wake Prof George Saitoti , Uhuru hakuwa na uzoefu wowote kiungozi ila Moi aliandaa mtu wa kumlimda na mtiifu ili aendelee kuongoza kwa kivuli cha Uhuru japo ataonekana amestaafu huku akisema bila KANU hakuna lolote litawezekana Kenya.
Licha ya Mwai Kibaki kupata ajali mbaya karibia kufa na kushindwa kuendelea na kampeni baada ya kukimbizwa nje ya nchi wakenya hawakujali walimpigia kura Kibaki ambaya baadae aliapishwa kwenye wheelchair, Kenya iliendelea kuwepo hata bila ya uwepo wa KANU na KANU ikageuka chama cha upinzani.
Baada ya hapo utakuwa umejifunza madaraka ya ukomo , utawala mbovu una ukomo ipo siku utawala dhalimu utaondolewa na wananchi.
Wewe hujui historia !Usifananishe CCM na KANU. CCM ni chama kilicho karibu na watanzania,chama Sikivu,makini na chenye Dira na muelekeo unaoeleweka vyema.
Haki ya kikatiba unaita masihara?Usilete mihasira yako hapa maana umeshindwa kuandamana na kuishia kujificha uvunguni
Unaujua utamu wa ruzuku wewe? Thubutu aache halafu zile ruzuku ale naniKuwatetea watanzania ni kujifedhehesha,Mh Mbowe aachane na watanzania.
Kwanini hujakwenda kuandamana?Haki ya kikatiba unaita masihara?
Huko Lumumba mkishalipwa hizo peanuts akili zote zinawaruka?
Idiot!
CCM itaendelea kuongoza Taifa letu kwa kadri ya uhai wake.Wewe hujui historia !
KANU, CCM kwa kofia ya TANU & ASP, ZANU PF ,ANC , SWAPO , FRELIMO ni hawa ni ndugu.
Mimi historia nimesoma zamani sana ila nakumbuka, nina wasiwasi wewe shuleni ulienda kusindikiza wenzako kitu ulichokipenda ni muda wa mapumziko.
Hiyo ni hot air !CCM itaendelea kuongoza Taifa letu kwa kadri ya uhai wake.
Umeambiwa ilikuwa lazima niwepo kwenye maandamano ndio yaitwe maandamano?Kwanini hujakwenda kuandamana?
Shahawa nyingine heri zingemwagwa nje tuNdugu zangu Watanzania,
Mbowe ametia sana huruma leo alipokuwa anakamatwa na kupakiwa kwenye Gari la kifahari la polisi .Amejikuta hakuna mwana CHADEMA hata mmoja aliyejitokeza wala kuwa karibu naye kumtetea au kumsaidia kwa lolote lile ,zaidi ya kuona waandishi wa habari wakiongozwa na KIkEKE ndio waliokuwa wakimtetea Mheshimiwa Mbowe .
Mbowe amejikuta amekimbiwa na kuuzwa na vijana wake wote waliokuwa wakimjaza upepo kuwa wataandamana hata ikibidi kufa.lakini cha ajabu leo hakuna aliyetokeza Pua yake ,zaidi ya kuwaona wote wakiwa wamejificha kwa nguvu zote huko Twitter na kuchungulia Mbowe anavyokamatwa peke yake utafikiri anaongoza mkusanyiko wa kondoo.
Mbowe amejuwa na kupata somo kuwa hakuna anayemuunga mkono wala kuunga mkono harakati zake .ametambua nguvu ya ushawishi aliyonayo Rais wetu mpendwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan katika Nchi hii hususani kwa kundi la vijana. Haijafahamika walikuwa wapi hata wale wanaoitwa walinzi wa mbowe ambao unakuta wamejivimbisha vifua na kununa Utafikiri wanauza na kupima sumu.
Vijana wa CHADEMA wametuma ujumbe kwa vitendo kwa Mbowe kuwa hawaungi mkono habari za maandamano na wala hawapo tayari kuvuruga amani ya Nchi .hii ndio sababu walimtelekeza peke yake na kumuacha apambane na hali yake.ndio sababu alikuta uwanja wa kukutania hakuna wanachama wala vijana wala sare ya chama chake.
Vijana wa CHADEMA pamoja na kukosa kwao umakini na kutokujitambua kwao, lakini kwenye kuvuruga amani wamegoma na kumgomea kabisa mbowe. Wamegoma kwenda kupigwa virugu halafu watelekezwe na chama bila kupewa Msaada wa aina yoyote ile.wanatambua uimara wa askari wetu na ndio maana wamegoma kabisa kwenda kupeleka pua zao .
Mpaka muda huu haifahamiki vijana hao wamejificha wapi huko ambako hawataki hata kuonekana sura zao.inaonyesha wengi walikuja Dar kushangaa jini lilivyo na kuangalia mechi za Simba na Yanga zilizopigwa wikendi hii katika michuano ya club Bingwa na shirikisho kufuzu hatua ya makundi.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Ulikuwa wapi wewe na wana CHADEMA wote? Kwani hujaona Mbowe yupo peke yake na kubebwa tu nakwenda kupakiwa kwenye gari? Matapeli sana ninyiUmeambiwa ilikuwa lazima niwepo kwenye maandamano ndio yaitwe maandamano?
Wewe ndio ulikuwa unachukua roll call ya waandamanaji?
Mnavichekesho sana ninyi ma CHADEMA.kwa hiyo waandishi wa habari ndio wanawafanyia kazi Ninyi? Si mlisema mtaandamana hata wawepo Polisi?Kwani hujaona polisi na waandishi wa habari wakiandamana? Ujumbe umefika malengo yametimia
Hakuna mwingineSisi mtetezi wetu ni Rais Samia na serikali ya CCM tu.
Mimi nipo naandamana onlineMnavichekesho sana ninyi ma CHADEMA.kwa hiyo waandishi wa habari ndio wanawafanyia kazi Ninyi? Si mlisema mtaandamana hata wawepo Polisi?
Nenda barabarani ukione cha moto πππMimi nipo naandamana online
Ishi inga mwatuvunza ivinama mwa kusunga abhana waneNenda barabarani ukione cha moto πππ