Wana Gangilonga mpo?

Fred Makari yupo Udsm na anapatilna humu kwenye mitandao ww mtafute utampata mkuu,tutakuwa tulisoma wote
 

Tusker Bariiiidi umenishtua! Ulikua jirani yangu kabisa. Ule upande opposite kwa Maruaha pana nyumba 3. Wewe ulikua ipi!!? Hahaha. I was young ile nimepata nostalgia sana.
 

Mnamkumbuka Ally, a.k.a Macheko kumchuzi. Darasa moja na Steve Kibassa. Alikuwa mcheshi sana na anapenda sana mpira!
 
Mimi nilikuwa naishi gangilonga,ulikuwa unakaa Quarters gani, za railways?mi pia nimesoma highlands na nimecheza basketball na Hemedi,Dosi,yohana,wanini,jimmy,said na mwalimu kibasa na Dr kibasa

ndugu nikumbushe vizuri who are u? maana ata mm nilikuwa nakaa quarters za railways,nyumba ya katikati kwa RPC na mission catholic
 
Nilikuwa Iringa takriban wiki mbili zilizopita . ....mazingira yameharibika sana....hakuna miti tena kama zamani.....viwanja vya michezo vimeharibika sana...kleruu...pale kati ya chuo cha afya na uwanja sabasaba....mji hauvutii tena kwani si wa kirafiki kama zamani..machozi yalitaka kunitoka nikilinganisha na ilivyokuwa zamani...Nini kimetokea Iringa????
 

Yvonne Mgonja nimesoma nae masters in public health USA. kwa sasa nadhani atakua amerudi Tanzania
 
Abdul masoli, daudi mwano, kina dorah ulaya walikuwa wanakaa opposite na lutheran centre hostel! Kina raiya wale wasomali pale! Mnakumbuka marehemu dr. Kalinga na ile mbwembwe ya karne? Alinawa soda akanywa bia kwenye party ya kuaga umasikini. Lol!

Kalinga aliyenawa soda sio yule daktari nadhani ulisimuliwa vibaya story. Kalinga aliyeaga umaskini mpaka sasa yupo kalenga ni mkulima wa nyanya na anakopesha hela kwa watu. Kalinga Dr yupo kwenye mfuko wa bima ya Afya (NHIF) baada ya kutoka hspitali ya Tumbi
 
familia ya wezi ilikua ya akina SUNGURA MABALAZA sijui siku hz wapo wapi ingawa mara ya mwisho walikua wanapatikana pale ubungo yaani familia nzima walikua wezi sijui hata kwanini!!!!nimnekulia makorongoni na kusoma chemchem enzi za kuangalia sinema filamu za akina madispensa na pinokyo kanisa la mshingo kipindi cha padre sandro na padre medri!!!!!mwalimu mkuu wa chemchem alikua matola,then nyenza,emmanuel,yessaya duh enzi hizo pia kulikua na teacher mmoja alikua mmasai aliitwa MAINOYA alikua anapiga stick balaa enzi hizo wilolesi kuna mwalimu kajiba na mwalimu mohgamed enzi za chipukizi uwanja wa samora na bendi ya mafinga ikiongozwa na RIP mzee NDITI we acha tu tumevaa suruwali nyeusi na mashati ya kijani na skaf shingoni chipkizi mpoooooooooooooooooooooo ndiyo tupo tupo kabisa jeuri ya chama....enzi za baba wa taifa
 
Hii nimeipenda maandamano toka manispaa mpaka uwanja wa Samora
 
Kaka yake Chris Kaseko. Alikuwa akifanya kazi KJ motors
 

Ayaaaaa umenikumbusha mbali sana sadi na saidi! Mi
Nilikua nasoma mapinduzi pembeni yupo muuza mapera omera na mwanae sikitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…