Mtanzania1
JF-Expert Member
- Dec 30, 2010
- 1,168
- 167
Ooh masikini kaka Peter......RIP......tutakukumbuka sanaHbari za kusikitisha.Pita mitumba AKA pita makolgeti amefariki kama miezi 2 hukom Iringa.
RIP makolgati.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ooh masikini kaka Peter......RIP......tutakukumbuka sanaHbari za kusikitisha.Pita mitumba AKA pita makolgeti amefariki kama miezi 2 hukom Iringa.
RIP makolgati.
Naam huyo huyo...Mkuu unamzungumzia Fredy Makari mama yao alikuwa mwalimu Lugalo?
Mimi nilikuwa nakaa jirani na ilipo kwa sasa Mama Siyovelwa Pub,Jirani na nyumba ya zamani ya Marwaha RIP,Kabla ya kukaa hapo tulikaa kwenye ile iliyokuwa Iringa Hotel kwa miezi 10 1984-1985... Meneja wake aliitwa Masanja alikuwa na kesi ya Ubadhirifu na Mkewe alikuwa na kesi ya Mauaji ya Mtoto wa
Dada aliyezaa na Masanja hii ilikuwa 1986...sijui Fate yao kwa wale waliokuwa wanakaa Kota za Railways Gangilonga watakuwa wanawajua... Familia ya Masanja... Masanja alikuwa mtu ambaye enzi hizi waweza kusema alikuwa MLA BATA... Nilisikitika sana kwa yaliyoitokea Familia hiyo...
Emanuel luvinga yupo Mwanza Damian Masasi yupo Makambako Abdul Masoli au Abdul Sabuni yupo Dar mitaa ya samora anaosha magari na Steve Kibasa ni marehemu alifariki kwenye tukio la ujambazi Arusha bwana mdogo alitokea kuwa jambazi hatari ila alikuwa na kipaji hatari
Mimi nilikuwa naishi gangilonga,ulikuwa unakaa Quarters gani, za railways?mi pia nimesoma highlands na nimecheza basketball na Hemedi,Dosi,yohana,wanini,jimmy,said na mwalimu kibasa na Dr kibasa
ndugu nikumbushe vizuri who are u? maana ata mm nilikuwa nakaa quarters za railways,nyumba ya katikati kwa RPC na mission catholic
tulikuwa tunavaa chupi za james bond 007
Kuna Post nimeandika kuwa yupo SERENA Dar HOTEL(MOVEN~PICK Dar ya zamani...) ni Sales executive... Pia kulikuwa na Yvonne Mgonja Mtoto wa Mwalimu mkuu wa zamani Iringa girls...
BTW... Mkanyila ni jina la kike... na wewe ni me... au unamuenzi bibi/Mama yako???
Abdul masoli, daudi mwano, kina dorah ulaya walikuwa wanakaa opposite na lutheran centre hostel! Kina raiya wale wasomali pale! Mnakumbuka marehemu dr. Kalinga na ile mbwembwe ya karne? Alinawa soda akanywa bia kwenye party ya kuaga umasikini. Lol!
yupi ... Christopher? Asia? au ndugu zake wengine?.... Christopher nilikutana Dar muda mrefu alikuwa akifanya kazi kwenye benki moja kubwa nchiniWapi Kaseko?
Duuuh enzi zile za Mzee Kabongo, JUA LILE LITEREMKE MAMAAAA...,BAAANDA WA MALAWI... Jamani enzi za Mwalimu Mkuu Dule nasikia ni Marhum!!! na Mama Lihundi Mama Kabongo yaani na Beautful Mwalimu Hellen(Cjui yuuuu wapi???) Mama Mwakajila...Nimerudi nilipita Iringa baada ya miaka 20 2007 duuu pamebadilika saaana... Kumbe Sadi na Saidi bado wapo??? Jamani Baba yao na lile Land-Rover Short Chasis tuliwatania sana.. DD NURDIN DANGANYA DANGANYA NURDIN. Mwaka huu nimekaa pale wiki moja jamani lots of memories...