Lakini mchicha haujawahi kuwa mbuyu.Cha msingi na muhimu Ni vile unavyojiona mwenyewe sio vile wanavyokuona wao.
Kupata kura moja sio mwisho wa mbio za siasa. Binafsi nakuona Kama shujaa wangu...
Kaambulia kura moja tu.Tatizo alishindwa kutambua kuwa CCM ni chama cha wenyewe..alidhani Kawe ni JF!
Ninadhani hiyo moja ni ya mkeweKaambulia kura moja tu.
Kama kawaida, wale wasaliti wameendelea kupata ile laana kubwa kabisa.Cha msingi na muhimu Ni vile unavyojiona mwenyewe sio vile wanavyokuona wao.
Kupata kura moja sio mwisho wa mbio za siasa. Binafsi nakuona Kama shujaa wangu...
Hahaaaaaa....... π πNinadhani hiyo moja ni ya mkewe