Mkuu mie nimeamini aliyevaa kiatu ndio anajua kiatu kunabana wapi,nimeshiriki katika haya mambo kama mjumbe juzi asikwambie mtu wajumbe wanaopiga hizo kura wenyewe hawajui cha umaarufu wa mtu wala nini wenyewe ni pesa.Huwezi amini kuna wajumbe wengine hawajui kama kuna mtu anaitwa Magufuli wala Majaliwa katika hii nchi,Jana ndio nimeamini.
The only way ushinde ndani ya CCM ni uwe na hela na uwape wale viongozi wao kisha wao ndio wakawape hela watu wao but napo kuna tegemea na mazingira kama ni mbunge ambaye upo na hawajakuchoka utapeta kama mlenda,pia unaweza kuwa maarufu na una hela pia kama wamekuchoka hawakupi hata kura 1.
Yani Politics ni bure bahati nasibu!