Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akina sisi ndio sisiemu na ndio wenyewe mnasemaje!!Yote maisha. Muachie Mungu huenda mamlaka ikakuona ukapata uteuzi.
Hongera kwa kutimiza haki yako ya kuchaguliwa kama katiba inavyosema hayo mengine waachie ccm inawenyewe bwana
Ninachokuomba sasa katika mabandiko yako ujitambulishe kuwa ni mwanaccm sio tena unajitambulisha kuwa wewe ni mtu huru usie na chama chochote cha siasa