Uchaguzi 2020 Wana JF, nipeni Pole. Msinicheke wala msinibeze; nimegombea ubunge Kawe kupitia CCM nimeambulia kura 1. Ama kweli CCM ina wenyewe!

Uchaguzi 2020 Wana JF, nipeni Pole. Msinicheke wala msinibeze; nimegombea ubunge Kawe kupitia CCM nimeambulia kura 1. Ama kweli CCM ina wenyewe!

Kura ya maoni si mwisho wa mapambano kwenda kuwahudumia wananchi. Unapo jikwaa si mwisho wa safari.. Mungu kaweka mipango mingine tena mizuri.
 
Huyu ndiye Mjomba wa Magufuli aliyeshinda Kura za Maoni Kawe. Yupo GCLA(maabara ya Taifa) yeye ndo incharge, pale hamna mtu wa kumpinga akisema hold mzee ni hold hamna wa kukupa release hata uende wapi, anaishi masaki kwa sasa. Hata cheo alichonacho ni figisu-figisu.

#Wasifu:
Jina: Furaha Dominic Jacob
Kazaliwa: Chato Kagera
Shule: Chato Secondary School...
Mwijaku aliropoka hadi akapokonywa mic.
 
Ukweli ni kwamba.

Mtu kama wewe na wengine wa aina yako mlitakiwa kuungana katika kufanya mageuzi na kupigania dhuluma wanayofanyiwa watanzania ktk kila kitu na hiyo ccm.Binafsi nilikuaminia sn baada ya kuuliza swali LA msingi sn ktk mkutano wa rais na waandishi wa habari ule wa kwanza.But ulibadilika na kuwa msifiaji unayeng'ata na kupuliza.

You people you have disappointed Tanzanians sn sn.Yani nashidwa cha kuandika kwa vile mmewasaliti watanzania. Wamebaki yatima,hawaelewi wafanya nini?Na haya ni maigizo ya kitu kinaitwa UCHAGUZI.We don't have election in Stanzania but we have selection.

Watanzania hawahangaiki kwa chochote kuhusu upuuzi huu,utaona hata siku ya uchaguzi maigizo idadi ya watu itakuwa ndogo sanaaaa.Ona hata daftari ilikuwa ni kulazimisha tu.Huu ndiyo ukweli Mayalla.Ccm watanzania hawitaki,hakika nakuhakikishia.

Ni mie Odilli wa kwenye 'A MAN OF THE PEOPLE'
 
Pole sana Paskali,
Nipo kijijini lakini mchujo ndani ya CCM si jambo jepesi na si la wazi kama unavyoona.Siku ya mchujo ni kuhitimisha tu yale ambayo yameshafanyiwa kazi.

Unaingia,unapewa dakika tatu kujieleza na kabla hujapokea swali anaitwa mwingine na mwisho zinapigwa kura na anatangazwa mshindi.Wajumbe wamekujua saa ngapi,wamekutathmini muda gani?

Hongera na inaweza kukusaidia katika uteuzi kama utaendelea kuwa mtiifu hasa wakati wa kampeni
 
Pascal Mayalla , kiufundi umeshindwa kutumia jukwaa la JF. Umefanya siri na mzaha kumbe ulikuwa serious

JF inaweza kukupa ''baraka'' lakini pia laana kama iliyowakumba mamia ya watia nia.

CCM imewakataa na kuwapa laana kuu waliokuja kuunga mkono.
Hatuwezi kujenga chama kwa jasho na damu halafu muje kuunga mkono treni kwa mbele, sh**

Next time tumia resource ulizo nazo vizuri, ninaamini una uwezo sana ulichoshindwa ni matumizi mazuri ya resource.
 
Kura moja jamanii kweliiii [emoji23][emoji23], kwahiyo hata wapambe hukuwa nao mkuu?







Let's meet at the top, cheers [emoji1635]
 
Back
Top Bottom