Louis II
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 3,030
- 4,647
Loosalaalee!Ninadhani hiyo moja ni ya mkewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Loosalaalee!Ninadhani hiyo moja ni ya mkewe
ahahahaaaaaa kaka paschal, sijui ni nnani alikushauri ukagombee ubunge kupitia ccm. Kwanza hujakaa kikada kabisa na uko critical sana. Pole sanawanza nimekubali matokeo na kukubali kuwa ama kweli CCM Ina wenyewe!
Mwijaku aliropoka hadi akapokonywa mic.Huyu ndiye Mjomba wa Magufuli aliyeshinda Kura za Maoni Kawe. Yupo GCLA(maabara ya Taifa) yeye ndo incharge, pale hamna mtu wa kumpinga akisema hold mzee ni hold hamna wa kukupa release hata uende wapi, anaishi masaki kwa sasa. Hata cheo alichonacho ni figisu-figisu.
#Wasifu:
Jina: Furaha Dominic Jacob
Kazaliwa: Chato Kagera
Shule: Chato Secondary School...
Kulamba miguu kote kule waja wamemfanyia kitu mbaya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pole sana Pasco, kweli ina wenyewe