Uchaguzi 2020 Wana JF, nipeni Pole. Msinicheke wala msinibeze; nimegombea ubunge Kawe kupitia CCM nimeambulia kura 1. Ama kweli CCM ina wenyewe!

Uchaguzi 2020 Wana JF, nipeni Pole. Msinicheke wala msinibeze; nimegombea ubunge Kawe kupitia CCM nimeambulia kura 1. Ama kweli CCM ina wenyewe!

Pole brooo! Lkn pia hongera. Binafsi niliishia kusalimia tu Viongozi wa Wilaya nikasave fedha yangu.
Tunaomba memba wengine waliopigwa wajitokeze tuwajue tuwafariji
 
Wanabodi,

Hili ni bandiko la ombi maalum kwa Wana JF wenzangu, nawaombeni sana mnipe pole na msinicheke, wala msinibeze, kujaribu kugombea ubunge wa Kawe kupitia CCM, nimeambulia kura 1!

Kwanza nimekubali matokeo na kukubali kuwa ama kweli CCM Ina wenyewe!

Nipeni tu pole!.

Paskali

Uchaguzi 2020 - Pascal Mayalla aomba kura Kawe, adai akipitishwa atagawa Tshs. Milioni 10 kwa kila Kata
Yaani Mbele za Macho ya CCM Pascal Mayalla hana tofauti na Mwijaku,na Pia Mpoki ni Zaidi ya Paskali
 
Ninaamini pale ukumbini tulikuwepo wanajf wengi japo hatufahamiani lakini tulichomtendea mwanabodi Pascal Mayalla siyo fair kabisa.

Baada ya zoezi la kupiga kura kukamilika nilijua Pascal hawezi kupata kura 0 kwa sababu nilimpigia lakini sikujua kuwa hiyo ndio kura pekee.
Chadema wa hapa Jf wanapigana kampani hadi kwenye chaguzi lakini wana Lumumba sijui tunafeli wapi?

Nimekereka sana.

Maendeleo hayana vyama!
USITUFOKEE
 
Bwashee pascal bado nafasi mbalimbali zinaweza kupatikana na huu Ndio mwanzo wa Safari ya siasa kama alivyosema mwenyekiti wako wa wilaya kwahiyo kuteleza sio kuanguka
 
Wanabodi,

Hili ni bandiko la ombi maalum kwa Wana JF wenzangu, nawaombeni sana mnipe pole na msinicheke, wala msinibeze, kujaribu kugombea ubunge wa Kawe kupitia CCM, nimeambulia kura 1!

Kwanza nimekubali matokeo na kukubali kuwa ama kweli CCM Ina wenyewe!

Nipeni tu pole!.

Paskali

Uchaguzi 2020 - Pascal Mayalla aomba kura Kawe, adai akipitishwa atagawa Tshs. Milioni 10 kwa kila Kata
Ukisema kuwa "CCM ina wenyewe" ni kuashiria kutokubali matokeo kama vile yamepangwa kwa kiupendeleo ili kuanufanisha "wenye CCM". Uchaguzi wa Kawe ulikuwa na wagombea wengi sana na pia kuna wengi waliopata kura moja au sifuri. Kubaliana na matokeo hayo usahau yaliyopita ugange na yajayo tu.
 
Wanabodi,

Hili ni bandiko la ombi maalum kwa Wana JF wenzangu, nawaombeni sana mnipe pole na msinicheke, wala msinibeze, kujaribu kugombea ubunge wa Kawe kupitia CCM, nimeambulia kura 1!

Kwanza nimekubali matokeo na kukubali kuwa ama kweli CCM Ina wenyewe!

Nipeni tu pole!.

Paskali

Uchaguzi 2020 - Pascal Mayalla aomba kura Kawe, adai akipitishwa atagawa Tshs. Milioni 10 kwa kila Kata
Pole Pascal lkn usijipendekeze tena[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Mungu hakumtuma bali tamaa tu
Screenshot_20200721-220915_Instagram.jpg
 
Afu Kawe mgempa tabu sana mkuu wa Sukuma mlikuwa wengi wengi na wengine powerful kama Gwaji boy afadhali tu mmepata za uso japokuwa aliepita nae nasikia ni wa karibu zaidi na Meza kuu haha
 
Back
Top Bottom