Kigogo2020
Senior Member
- Oct 22, 2019
- 171
- 323
Tulimuonya, hakutaka kutusikiliza!
Anyways kuna za chjni chini meko atampa uDC

Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani Mbele za Macho ya CCM Pascal Mayalla hana tofauti na Mwijaku,na Pia Mpoki ni Zaidi ya PaskaliWanabodi,
Hili ni bandiko la ombi maalum kwa Wana JF wenzangu, nawaombeni sana mnipe pole na msinicheke, wala msinibeze, kujaribu kugombea ubunge wa Kawe kupitia CCM, nimeambulia kura 1!
Kwanza nimekubali matokeo na kukubali kuwa ama kweli CCM Ina wenyewe!
Nipeni tu pole!.
Paskali
Uchaguzi 2020 - Pascal Mayalla aomba kura Kawe, adai akipitishwa atagawa Tshs. Milioni 10 kwa kila Kata
Mwanzo mgumu mkuu.Wanabodi,

Bwashee..... Msema kweli mpenzi wa Mungu!Yaani bwashee we ni mnafki sana,umeona uje kumsimanga Pascal Mayalla na kakura kake kamoja alikoambulia...
Kwa ile kura yangu moja?Tulimuonya, hakutaka kutusikiliza!
Anyways kuna za chjni chini meko atampa uDC
USITUFOKEENinaamini pale ukumbini tulikuwepo wanajf wengi japo hatufahamiani lakini tulichomtendea mwanabodi Pascal Mayalla siyo fair kabisa.
Baada ya zoezi la kupiga kura kukamilika nilijua Pascal hawezi kupata kura 0 kwa sababu nilimpigia lakini sikujua kuwa hiyo ndio kura pekee.
Chadema wa hapa Jf wanapigana kampani hadi kwenye chaguzi lakini wana Lumumba sijui tunafeli wapi?
Nimekereka sana.
Maendeleo hayana vyama!
Ukisema kuwa "CCM ina wenyewe" ni kuashiria kutokubali matokeo kama vile yamepangwa kwa kiupendeleo ili kuanufanisha "wenye CCM". Uchaguzi wa Kawe ulikuwa na wagombea wengi sana na pia kuna wengi waliopata kura moja au sifuri. Kubaliana na matokeo hayo usahau yaliyopita ugange na yajayo tu.Wanabodi,
Hili ni bandiko la ombi maalum kwa Wana JF wenzangu, nawaombeni sana mnipe pole na msinicheke, wala msinibeze, kujaribu kugombea ubunge wa Kawe kupitia CCM, nimeambulia kura 1!
Kwanza nimekubali matokeo na kukubali kuwa ama kweli CCM Ina wenyewe!
Nipeni tu pole!.
Paskali
Uchaguzi 2020 - Pascal Mayalla aomba kura Kawe, adai akipitishwa atagawa Tshs. Milioni 10 kwa kila Kata
Pole Pascal lkn usijipendekeze tena[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Wanabodi,