Wana JF wa Dar es Salaa tujumuike kwa hili!!

Fidel80 endeleeni na mipango, mie nitajumuika mwishoni, but michango nitawakilisha bila shaka.

Michango gani unayotaka itoke?
Hapa zinakusanywa pesa za kwenda Tanga.
Kama uko tayari nambie.
Mpaka sasa nina majina ya watu sita tu
 
Last edited by a moderator:
Siwezi hudhuria kikao sehemu ambayo biya inauzwa 2500-3000/=

Basi tutafanyia sehemu ambayo bia inauzwa 5,000 au 7500, afu kama vipi achana na BIYA zina bei sana,kunywa Bia
 
Hivi unajua kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake?


Achana naye huyo mtoto wa mama akiamka asubuhi anakuta kaandaliwa mezani na kubembelezwa ili ale,wakati wengine tukiamka na njaa zetu tunaingia mitaani kusaka noti...
 
kama vile sielewi elewi ngoja ninawe uso kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…