Wana JF wa Dar es Salaa tujumuike kwa hili!!

Kama kutakuwa na mipododo mi sitokosa mnihakikishie tu ipo? Hata kula kwa macho sio mbaya roho yangu itasuuzika
 
ngoja niombe ruhusa kwa Teja, sijui atanikubalia?
mlongo wangu snowhite wewe kwisha pewa ruhusa?
 
Last edited by a moderator:
Mzee wa Rula naenda mdogomdogo na hii issue yakinishinda ntaleta report!! Ila mpaka sasa bado nayamudu!!!!
unayamudu wapi bana? yaani hiyo tar 28 utaishia kutupiga picha tu mi na Filipo wangu ..naomba uje na kamera za kutosha
 
Last edited by a moderator:
ngoja niombe ruhusa kwa Teja, sijui atanikubalia?
mlongo wangu snowhite wewe kwisha pewa ruhusa?
unataka mwenzio akufe? Ukiondoka stimu zenyewe zishalipiwa itakuwaje? Hebu tulia ntoto wa kike.
 
Last edited by a moderator:
unataka mwenzio akufe? Ukiondoka stimu zenyewe zishalipiwa itakuwaje? Hebu tulia ntoto wa kike.
mwenzangu........ ngoja nijitulize mie, hata ruksa siombi tena.....
mtoto wa kike kutulia na la azizi, lol!
 
welcome back sweet pie.....Tanga moja sio.....?
sana tu ngoja niingie duka la jeshini hapa nikuchukulie mavinywaji ya kutosha shosti tutalala room moja au utalala na nitonye?
 
Last edited by a moderator:
toa mwongozo kijana muda unayoyoma

Mwongozo wangu upo hivi...
Ukisoma vizuri thread ya watu wa Arusha utagundua wameshatoa gharama na utaratibu mzima wa safari.
Sasa kuna vitu kwanza inabidi watupe mwangaza kabla ya kuendelea na hatua yoyote inayofuata.

Mosi, Je magari watakayotoka nayo Arusha ndio hayo hayo watayatumia kufanya mizunguko wakifika TANGA?
Kama jibu ni NDIO basi inabidi na sisi tufuate utaratibu kama huo.
Kama ni HAPANA watueleze kule TANGA utatumika utaratibu (haswa gharama) upi kwenye suala la USAFIRI.
ZINGATIA:Tukifika TANGA wote misele itakua ni ile ile, hivyo utofauti wetu upo tu kwenye namna ya kufika huko TANGA.

Pili, gharama za MALAZI hizi zitakuwa sawa kama wao walivyopanga, hili sio la kujadili

Tatu, kwa habari ya CHAKULA sina uhakika ni utaratibu gani utafuatwa ila pia sioni kama kutakuwa na shida hapo.
 
haa....mimi mpaka saa hii nipo single and fresh......sijui nina gundu gani wallah......sibukiwi......

Filipo aliniambia eti tayari una shehena ya watu
 
Last edited by a moderator:
Isiwe tu Brajec

Afu kwanini ulitoroka? Yawezekana una bahati mbaya sana. Hujajua tu.

Siku nyingine usikubali kuuziwa mbuzi kibudu kwenye kiroba na Turbo Charger Madame B.
 
Last edited by a moderator:
mkuu PakaJimmy tunaomba mwongozo hapa
 
Last edited by a moderator:
tukutane ijumaa basi au jmosi tupange
 
Preta Smile

Kha ha ha ha ha ha haaaa!

Bila shaka hii siku itakuwa (ITAWEKA) Historia katika mtandao huu wa Jf!


ITAKUWA HAPATOSHI NA TUOMBEANE UZIMA TU!


sana tu ngoja niingie duka la jeshini hapa nikuchukulie mavinywaji ya kutosha shosti tutalala room moja au utalala na nitonye?


Pamoja sana!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…