gari tunatoka nalo Chugga na kurudi nalo....si tumeamua kula bata bana.......
Wale wote wanaobuki na kubukiwa mie ndio mkusanya sensa pitia hapa.:becky::becky: sio kuchukua hoteli nzima kumbe watu wanalala dabo....
PakaJimmy Mzee wa Rula + Preta
Hawa kwa 99% ndio watatoa mwongozo wote kwa upande wa huku A town!
Sehemu
Wale wote wanaobuki na kubukiwa mie ndio mkusanya sensa pitia hapa.:becky::becky: sio kuchukua hoteli nzima kumbe watu wanalala dabo....
Okay...asante kwa jibu lako maridhawa
Kwa mantiki hiyo hata wadau wa DA'SLAM itawapasa kufanya kama ninyi....kukodi gari litakalotoka JIJINI na kwenda nalo TANGA, then kufanya mizunguko UPON request.
So hilo GARI/MAGARI ni ya Travelling Agency au ni yale MAJENEZA "Coaster"?
Kama ni Travelling Agency, ndio hao hao watakao husika kwenye kutafuta MALAZI?
Mkuu! Hili ckulijua kwamba linakuhusu! Tunaangusha wawili wawili Mkuu!
Semeni ni lini na wapi tunakutana
Hahahahaha......ilaa weye ushalipiwa.
Haya...endelea kubukisha watu.
Hahaha, mimi hapa nauliza nikiwa DA'SLAM mkuu nadhani ndio maana tumepisha
ooh yeees....hili lilikuwa limesahaulika kidogo kweye hadidu za rejea... PakaJimmy naomba unakili tafadhali.....
Wale wote wanaobuki na kubukiwa mie ndio mkusanya sensa pitia hapa.:becky::becky: sio kuchukua hoteli nzima kumbe watu wanalala dabo....
mkuu....hii ni Chugga....tupande coaster tuna wazimu....kitu cha Long Base.....macho panzi.....khaaa!......tusikiage hivi hivi......
kila kitu ni INCLUSIVE.......
Beeeeee wasema sikusikiiii ujue panda juu ya mti kama network inasumbua.
weraaaa.....orait orai....ngoja nikujibu mada yako taaaaamu.......
1. Gari tunalikodi kwa siku....so kila tutakapokuwa tunakwenda kama linahitajika......litakwenda.....
2. Gharama zote ni inclusive.....nikiwa na maana....kila kitu kimekuwa covered na kiasi cha pesa kitakachokuwa kimelipwa....sijui unanielewa......
Preta......Tour Leader....
Jf Expeditions
Siku nyingine uniambie mapema. Ona sasa zawadi zako za madafu, matango na matikiti maji niliwatupia makitimoto yaliyotarajiwa kuliwa kesho yake pale migombani savei. Na ile Dodoma wine (@cacico asisome hapa) nikawapa wahudumu wa The Calabash....kama zawadi yao ya siku ya kukeketwa