Wana JF wa Dar es Salaa tujumuike kwa hili!!


sisi wenyewe tunamaliza kila kitu....umesahau upo JF mkuu.....
 
Mkuu wangu haipaswi kuwasema vibaya mashemeji zetu.

Wasingekuwa na dada tungeoa wapi?

nilikuwa nakupenda ila sikuwa najua ni kwa kiasi gani....sasa leo ndio nimebaini......28976.3336%.......
 
sisi wenyewe tunamaliza kila kitu....umesahau upo JF mkuu.....
Jibu swali langu la msingi basi MUPENZI, hiyo Agency jijini DA'SLAM haiwezi kupatikana? If yes tutakuwa tumerahisisha kazi ya kuanza kukutana na mambo mengine maana tutaitumia Hiyohiyo
 
Tutaona....mimi naendelea kutazama tu hapa...
Halafu mkuu unajua dirisha dogo la usajili kule kwetu limefunguliwa rasmi....linafungwa january 9th. Fanya ulete tuwili hivi.....kubalance, ofcoz na kukufanya uanze kuja mazoezini dagaadagaa.

Well noted.....
CC: Shemejiz Mzee wa Rula, PakaJimmy, Filipo, Preta, Blaki Womani Lily Flower, Filipo, marejesho sweetlady, Saharavoice (huyu anahitaji uangalizi) Kabakabana, LiverpoolFC (mzee tunatia aibu anfield) et el....
 
Last edited by a moderator:
nilikuwa nakupenda ila sikuwa najua ni kwa kiasi gani....sasa leo ndio nimebaini......28976.3336%.......

Mi sitegemei kuacha kukupenda wewe na mshiki Lily Flower...... tangu enzi zileeeee

Shahidi; Yesu Kristo wa Nazareti
 
Last edited by a moderator:
...Kweli unachosema Preta! Na amesahau makao makuu ya JF ni Arusha.

Natamani ile makitu pale karibu na JNIA ingehamishiwa Arusha. Hii ishu ya makao makuu iwe solved once and for all.

BTW hivi makao makuu ya CDM nayo si yako Chugga eh? Mi ntahamia AR veri suun. Nataka niwe sehemu ya ushindi na mabadiliko.
 
Last edited by a moderator:
Kama safari twendeni mafinga tukaweke kambi kwenye shamba la miti huko hali ya hewa imetulia na bila shaka tutaburudika zaidi.
 
Kama safari twendeni mafinga tukaweke kambi kwenye shamba la miti huko hali ya hewa imetulia na bila shaka tutaburudika zaidi.

We nawe uzee wako peleka hukooo.

Miti na ufugaji ng'ombe hayatakiwi hapa....

Unatuharibia stim vijana ujue...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…