Mabinti Preta, Wiselady, Loner and Lilyflower......................................mnafikiri sifa kuwa wazuri hivyo? waone vile
Derimto macare na malavidavi uliyaonyesha kwa kweli dah............I wish Mama wa Kwanza angekuwa hajatoa ile thread yake ya Heartbreakers..........mbona ningeweka kambi chalii yangu!!
Basi kesho tuandae ya watu wa dar pale Rose gerden au???
Yalllahh, kichupa changu ati...:A S-cry::crying::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry:Kaka tena Saharavoie alitoa offer ya kumbeba matty hadi Midway........what a romantic scene to witness loh.............. I widh ungekuwepo anyway pole kwa kuharibikiwa na gari bana.
Hahahah Fataki?? Hapana lol
Matty ameibatiza jina kile kinywaji cha Vaisi Roi sasa ni Voisi of Risoni loh anakilaani hadi kesho..............
nipo mpendwa.....kwanza pole sana kwa kukosa siku maalum kama ile.....ila kwa sababu sio mwisho tutakutana tena.......tulifurahi sana na ilikuwa nzuri sana....nadhani tukienda mlimani itakuwa bomba zaidi.....ngoja nianze kwenda gym kupata pumzi ya kupandia mlima
I missed ths and was verrrrry close! Eng Nsiande
Yalllahh, kichupa changu ati...:A S-cry::crying::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry:
hahahahahahaha jamani sweet homepale alikuwa ameshakunywa lemomo....alikuwa anasuuzia tu.....huku ngalelo ukiona mtu ameingia bar ujue katokea mbali.....
Yalllahh, kichupa changu ati...:A S-cry::crying::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry:
Yalaaaaa...hahahaaaaa hicho kichupa chako lol kinajua kufanza wa2 mwe!
hahaaaaa... ila wewe, basi tu!!!Do not cry babe.......next time ntakutia kwa kibeti twende wote..............but ulinipa wakati mgumu sana ujue.......... PJ alinikaba shingo nimekuacha wapi lol
Haa wapi tungekukabidhi mtoto Preta mwenyewe ungekuwa mdogo.......maana Kimey alikuwa kama hayupo vile yaani sikusikia ,akelele yake yale ya kwenye gari kila nkimtizama namwona anabadilisha tu rangi ya macho................watoto wa Arusha wacha kabisa.hahaaaaa... ila wewe, basi tu!!!
Ningewahamisha meza sana huko arachuga, next time haina kwere wala mkwere mazee, ntawajoin tukale kongor freedom kabla ya kuanzisha zali la mentali
I am speechless...Haa wapi tungekukabidhi mtoto Preta mwenyewe ungekuwa mdogo.......maana Kimey alikuwa kama hayupo vile yaani sikusikia ,akelele yake yale ya kwenye gari kila nkimtizama namwona anabadilisha tu rangi ya macho................watoto wa Arusha wacha kabisa.
hahaaaaa... ila wewe, basi tu!!!
Ningewahamisha meza sana huko arachuga, next time haina kwere wala mkwere mazee, ntawajoin tukale kongor freedom kabla ya kuanzisha zali la mentali
Haa wapi tungekukabidhi mtoto Preta mwenyewe ungekuwa mdogo.......maana Kimey alikuwa kama hayupo vile yaani sikusikia ,akelele yake yale ya kwenye gari kila nkimtizama namwona anabadilisha tu rangi ya macho................watoto wa Arusha wacha kabisa.
Hahahahaha bora kama hawakunichakachua maana sina imani na Kimey katu
simwambii loner ng'oooo,,mpaka uniitie kimey,,au yuko guest nini?
Mi. Ndiyo maana nilikushindwa kwa mambo kama haya una wivu mpaka kwa mtoto wako wa kike akishikwa na baba yake roho inadunda
We hupendi rushwa?
Kile ulichopewa na Chipukizi ninini hadi ukaondoka nae, huku ukimtelekeza ze Finest!...acha bana...!usione kwa vile tuko kimya hatujui ufisadi na hongo unazotumiwa kwa njia ya posta!
Khaaa!!!!! Huyu mwanamke we need extra effort to make sure we nail her
Hongereni sana wadau wa A town na wapambe waliowapa shavu.
Ila kwa hili lazima nikate rufaa...Kuna watu, wengine wanajijua nitawasemea kwa bibi!
Babu DC