Wana JF wakutana Arusha

Wana JF wakutana Arusha

Status
Not open for further replies.
Mabinti Preta, Wiselady, Loner and Lilyflower......................................mnafikiri sifa kuwa wazuri hivyo? waone vile

Derimto macare na malavidavi uliyaonyesha kwa kweli dah............I wish Mama wa Kwanza angekuwa hajatoa ile thread yake ya Heartbreakers..........mbona ningeweka kambi chalii yangu!!

switlady pole na uchovu,,niliwaza vile nitakavyokukosa lkn namshkuru papaa dj amedo ze nidful atakuleta karibu,,,angalau ntakuona!!nakumiss hlf nakupenda,asante kwa kuja
 
Kaka tena Saharavoie alitoa offer ya kumbeba matty hadi Midway........what a romantic scene to witness loh.............. I widh ungekuwepo anyway pole kwa kuharibikiwa na gari bana.

Hahahah Fataki?? Hapana lol

Matty ameibatiza jina kile kinywaji cha Vaisi Roi sasa ni Voisi of Risoni loh anakilaani hadi kesho..............
Yalllahh, kichupa changu ati...:A S-cry::crying::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry:
 
nipo mpendwa.....kwanza pole sana kwa kukosa siku maalum kama ile.....ila kwa sababu sio mwisho tutakutana tena.......tulifurahi sana na ilikuwa nzuri sana....nadhani tukienda mlimani itakuwa bomba zaidi.....ngoja nianze kwenda gym kupata pumzi ya kupandia mlima

I missed ths and was verrrrry close! Eng Nsiande
 
Yalllahh, kichupa changu ati...:A S-cry::crying::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry:

hahahaaaaa hicho kichupa chako lol kinajua kufanza wa2 mwe!
 
pale alikuwa ameshakunywa lemomo....alikuwa anasuuzia tu.....huku ngalelo ukiona mtu ameingia bar ujue katokea mbali.....
hahahahahahaha jamani sweet home
umenikumbusha maeneo ya Ngaleloo baada ya kutoka Loruvani kupata ile kitu kali na kupita maeneo ya Kijenge kupata ile kitu yenyewe inaitwa dadiiiii
 
Yalllahh, kichupa changu ati...:A S-cry::crying::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry:

Do not cry babe.......next time ntakutia kwa kibeti twende wote..............but ulinipa wakati mgumu sana ujue.......... PJ alinikaba shingo nimekuacha wapi lol
 
Do not cry babe.......next time ntakutia kwa kibeti twende wote..............but ulinipa wakati mgumu sana ujue.......... PJ alinikaba shingo nimekuacha wapi lol
hahaaaaa... ila wewe, basi tu!!!

Ningewahamisha meza sana huko arachuga, next time haina kwere wala mkwere mazee, ntawajoin tukale kongor freedom kabla ya kuanzisha zali la mentali
 
hahaaaaa... ila wewe, basi tu!!!

Ningewahamisha meza sana huko arachuga, next time haina kwere wala mkwere mazee, ntawajoin tukale kongor freedom kabla ya kuanzisha zali la mentali
Haa wapi tungekukabidhi mtoto Preta mwenyewe ungekuwa mdogo.......maana Kimey alikuwa kama hayupo vile yaani sikusikia ,akelele yake yale ya kwenye gari kila nkimtizama namwona anabadilisha tu rangi ya macho................watoto wa Arusha wacha kabisa.
 
I am speechless...
 
hahaaaaa... ila wewe, basi tu!!!

Ningewahamisha meza sana huko arachuga, next time haina kwere wala mkwere mazee, ntawajoin tukale kongor freedom kabla ya kuanzisha zali la mentali

Cousin ungekuwepo I guess you would have been man of the match for that trip
 
Haa wapi tungekukabidhi mtoto Preta mwenyewe ungekuwa mdogo.......maana Kimey alikuwa kama hayupo vile yaani sikusikia ,akelele yake yale ya kwenye gari kila nkimtizama namwona anabadilisha tu rangi ya macho................watoto wa Arusha wacha kabisa.

Aisee chaliii yangu bila mwekundu hauingii ndani.....
 
Hahahahaha bora kama hawakunichakachua maana sina imani na Kimey katu

Umesema kaka Kimey mtaalam na magoli hufunga kwa mbali na ni bingwa kupiga mipira iliyokufa hadi golini kama Daviv Beck.
 
simwambii loner ng'oooo,,mpaka uniitie kimey,,au yuko guest nini?

Mi. Ndiyo maana nilikushindwa kwa mambo kama haya una wivu mpaka kwa mtoto wako wa kike akishikwa na baba yake roho inadunda
 
Mi. Ndiyo maana nilikushindwa kwa mambo kama haya una wivu mpaka kwa mtoto wako wa kike akishikwa na baba yake roho inadunda

Dah!!! Aisee bora umenisaidia hapo Derimto maana huyu mwanamke ana wivu kweli
 
We hupendi rushwa?
Kile ulichopewa na Chipukizi ninini hadi ukaondoka nae, huku ukimtelekeza ze Finest!...acha bana...!usione kwa vile tuko kimya hatujui ufisadi na hongo unazotumiwa kwa njia ya posta!

Mwenyekiti punguza ukali wa maneno maana mengine kama yanafanana na ukweli vile
 
Hongereni sana wadau wa A town na wapambe waliowapa shavu.

Ila kwa hili lazima nikate rufaa...Kuna watu, wengine wanajijua nitawasemea kwa bibi!

Babu DC

Tuliogopa babu maana ungetudhiti vilivyo ila babu asprin hakucheza mbali tulichonga naye sana usiku ule alikuwa anaremote matukio machache na kuhakikisha tuko sawa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom