Tony-stark
JF-Expert Member
- Jul 20, 2019
- 1,020
- 1,334
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Tekno ni bei rahisi
Masikini hutumia vitu vya bei rahisi
WATUMIAJI WA TEKNO NI MASKINI
Mtoa mada ana hoja
Mkuu nadhani haya maneno yamekutoka tu,Nimefanya utafiti humu member wengi ni maskini na wanatumia Tecno.
Mungu awatie nguvu walau mwaka huu watumie simu za maana.
Mkuu nadhani haya maneno yamekutoka tu,
Mtu anajiita ana simu kali,na maneno mengine mengi kama haya.
ukiumwa wiki moja tu lazima ndugu wote wapate taarifa
ili wachange ukapimwe hospitali.Mimi natumia techno na sihitaji Mungu kunitia nguvu katika hili
maana alinipa nguvu nikainunua na naendelea kuitumia kwa nguvu ninazokirimiwa na Mungu.
Unaweza kuwa umepewa hiyo simuUnakuta mtu anatumia simu ya mil moja ila anaishi chumba cha 15000. [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Vichochoroni, ukimuulizaa anapoishi anakwepa ahaaaaaa
Maskini wenzangu tunaotumia sim za bei rahisi tujuane.
Dah umenikumbusha kitu nilipokua chuo nilipewa laki 7 na mpenzi angu nikatafute cm nilijiona napendwa sana but nikiwaza tulivoachana sina hamu, pesa kwake ilikua imejaa so haikumaanisha upendo kunipa kias kile, BTW sikununuaga cm.Binafsi natumia tecno na si masikini ila tu sijawahi kuzinguka na simu. Simu mie utumia kupigia na WhatsApp na msg kwenye internet issue natumia Ipad Air 2 na JF mara nyingi natumia Laptop HP Pavilion core i7 8th Gen. Mtoto wangu yeye mali anayojivunia ni iPhone x ambayo nilimpa baada ya kununulia na mradi mmoja nilikuwa nimewin.
Mtoa mada wewe bado ni mtoto kwa hiyo unajua kitu cha thamani katika Maisha ni simu ya gharama. Haiko hivyo sisi wengine tulishavuka huko. Bei ya iPhone X ni nusu ya ada ya mtoto wangu wa primary mmoja. Priority kwangu sio simu tena ni vitu vingine vikubwa vyenye kuzalisha. Hayo masimu tunahonga vitoto vya chou tunavikojolea tunavidump
Sio kupewa niliokota barabara ni.
Hutaki iPhoneAsante mkuu mie natumia Infinix!! Ila natamani Sumsung Galaxy note 10+!!
Kuona nini?
Umenijibu kwa nyodo nadhani hujanielewa nilichomaanisha. Nina maana kuwa huyo anayekaa chumba cha elfu 15 na anatumia simu ya 1m anaweza kuwa amepewa sijamaanisha wewe simu unayotumia umepewa, sawa bibie?Sio kupewa niliokota barabara ni.
Ngoja sisi wa Jitide tutulie kwanza.......
Ila naomba sana Mungu aniepushie na kuwa na akili kama hizi za majivuno
Huwezikuelewa statement yangu kama unasoma haraka haraka bila kutafakariIla akupe zaidi za kuridhika na umaskini??