Wana JF wengi ni maskini, wengi hutumia Tecno

Nimefanya utafiti humu member wengi ni maskini na wanatumia Tecno.

Mungu awatie nguvu walau mwaka huu watumie simu za maana.
Unaupimaje umaskini wa mtu mkuu?,kwa mfano Mimi tayari nimeshakujua kwamba wewe Ni maskini kutokana na mawazo yako
 
Eti simu za maana hahahahahha Simu za maana zenyewe ndio unatumia kuandikia upupu kama huu si bora niendelee kutumia tecno

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…