Wana JF wengi ni maskini, wengi hutumia Tecno

Wewe mwenyewe ni maskini...matajiri saiv wako insta na YouTube au wanastream movie wewe upo huku kubania MB na ukiingia fb unatumia free basic.
 
Kwanini uwe tajiri uvumilie kero zote hizo za Tecno? Nini sababu hasa
 
Wewe mwenyewe ni maskini...matajiri saiv wako insta na YouTube au wanastream movie wewe upo huku kubania MB na ukiingia fb unatumia free basic.

Team tecno?
 
level za simu sio utajiri, simu ni kifaa tu cha mawasiliano. mimi nina rafiki anatumia simu nzuri sababu anapiga picha vifaa vya kuagiza tu.
yupo vizuri lkn simu yake ya mawasiliano ni samsung 101 FM redio.

ila kabwela mimi hata sasa najipanga kubadili tena simu, yeye atabadili gari[emoji23][emoji23][emoji23]

tuelewane, simu nzuri sio utajiri aisee yaani mimi tajiri simu nzuri bando la 1gb inaisha muda wake saa2 usiku huu bado dk chache tu. napotea hewani [emoji23][emoji23][emoji23]
Kuwa na pesa ya kununua chochote kizuri ukipendacho bila mawazo. Kiufupi utajiri ukupunguzie shida

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alokwambia wanaotumia tecno ni ma skini nani. Umaskini wa akili ni mbaya zaidi kuliko umaskini wa pesa. Nafikiri wewe ni maskini wa akili
Nimefanya utafiti humu member wengi ni maskini na wanatumia Tecno.

Mungu awatie nguvu walau mwaka huu watumie simu za maana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Huwezi kuwa Mtu wa viwango na serious utumie tecno!!
 
Hakuna tajiri mwenye Tecno hapa Tanzania, hakunaaaaaaaa 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…