Wana JF wengi ni maskini, wengi hutumia Tecno

Nimefanya utafiti humu member wengi ni maskini na wanatumia Tecno.

Mungu awatie nguvu walau mwaka huu watumie simu za maana.
Narrow minded persons do not discuss issues, they only discuss people and their personalities.

Mungu Baba Mwenyezi akurehemu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
2018 nimetumia S Grand prime+ ilikua bomba kila nyanja ila ile tabia ya kuniambia no enough space wakati zimebaki mb 500 lilinifanya nichukie hiyo simu. Hadi nikawa nawatamani watu wa y6

Wewe ni maskini bado
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…