Wana JF wengi ni maskini, wengi hutumia Tecno

Ishu ni priority za mtu binafsi, kuna mtu anatumia tecno lakn analala kitanda cha milion3, na nwengine anatumia iphone ta milion3 analala kitanda cha lak3

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli...mi binafsi sijawai hata kuwazaga aina gani ya simu ninayotumia.
 
Unaupeo wa kufikiriaaa I like you

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilienda msiba mmoja hivi,pale kila mtu ana simu za hatari zote unazojua wewe,Iphone max..,Samsung S10..n.k,ikafika mahali inabidi tuwapigie ndugu,jamaa na marafiki tuwaeleze kuwa hela imepungua kwahiyo waongeze michango,ghafla nikaona watu wanatumia simu zikiwa kwenye pochi,wengine mifukoni,nikatoa Nokia tochi yangu watu wakapigia mpaka na wake zao nyumbani,eti vipi mtoto amesharudi shule,mi niko pembeni nawacheki tu,acheni dharau bana...
 
ingetosha title yako kuishia hapo "ni masikini"

kuhusu kutumia tecno hakuhusiani na umaskini

halafu nikwambie kitu mdogo angu,wenye pesa

na matajiri simu zao,vitu vyao,magari yao,nk "ni vya kawaida sana"

ukitaka kujua mabalaa yao,ingia 18 zao then wakuamulie.

Tembea na mke wake
Onea ndugu yake/mtu wake wa karibu
Mfanyie ujinga wowote then uone atachokufanya

Just one call and you will be disappear kusikojulikana

au ukajikuta central bila kujua umeingiaje na Dhamana ya kesi yako HAKUNA
 
waogope hao unaodhani ni maskini maana inaweza kuwa vice versa

Matajiri hujificha kwenye kichaka cha watu maskini

Kumjua Tajiri itakupasa utumie akili 99%

Thread yako umetumia akili only 10% so you have 80% remained kuweza

kuwajua matajiri kuanzia life style zao humu JF mpk nnje ya JF 😜
 
Nimefanya utafiti humu member wengi ni maskini na wanatumia Tecno.

Mungu awatie nguvu walau mwaka huu watumie simu za maana.
Kweli bwana wengi humu sisi ni masikini ndio maana tukiona mtu ametupia video bila maelezo tunakunja ndita kama muha aliyenyimwa sahihi na afisa uhamiaji
 
Tekno ni bei rahisi
Masikini hutumia vitu vya bei rahisi
WATUMIAJI WA TEKNO NI MASKINI

Mtoa mada ana hoja
 
Nimefanya utafiti humu member wengi ni maskini na wanatumia Tecno.

Mungu awatie nguvu walau mwaka huu watumie simu za maana.
Asante mkuu mie natumia Infinix!! Ila natamani Sumsung Galaxy note 10+!!
 
Hivi, mtu akikwambia upo kama busha anamaanisha nini? Ninataka na mimi nilitumie kwenye uzi huu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…