Uchaguzi 2020 Wana Mbeya hatupo tayari kwa Tulia Ackson

Hatutaki kinyago period!!
 
Tulia hana jipya na wana mbeya hatuna muda naye, kama ameshindwa kuliongoza bunge la watu 400 atawezaje kuliongoza jiji?
Nje ya mada.WanaMbeya ni watu wema sana.Unataka kusema Mh.Sugu anahusika na kutenda huo uhayawani?Serikali imeshindwa kulinda watu wake na mnalalamikia wapinzani?Huyo Tulia anaenda kufanyaje akiwa Mbunge wa Mbeya?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tulia hana nafasi hapa mbeya
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…