Uchaguzi 2020 Wana Mbeya hatupo tayari kwa Tulia Ackson

Uchaguzi 2020 Wana Mbeya hatupo tayari kwa Tulia Ackson

Sura ni uumbaji wa Mungu,Kuna msemo wa kichina kuwa uzuri wa kitu huwa machoni pa mtazamaji kwako mbaya ila kwa wengine ni bonge la mlimbwende,na kuhusu kukubalika hauna haja ya kutumia elimu kubwa kujua hilo kwani hata watoto wadogo wa Mbeya wanalijua hilo.Wewe endelea kupiga kelele mwenzio anazidi kuchanja mbuga.
Hatutaki kinyago period!!
 
Tulia hana jipya na wana mbeya hatuna muda naye, kama ameshindwa kuliongoza bunge la watu 400 atawezaje kuliongoza jiji?
Nje ya mada.WanaMbeya ni watu wema sana.Unataka kusema Mh.Sugu anahusika na kutenda huo uhayawani?Serikali imeshindwa kulinda watu wake na mnalalamikia wapinzani?Huyo Tulia anaenda kufanyaje akiwa Mbunge wa Mbeya?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tulia hana nafasi hapa mbeya
Sura ni uumbaji wa Mungu,Kuna msemo wa kichina kuwa uzuri wa kitu huwa machoni pa mtazamaji kwako mbaya ila kwa wengine ni bonge la mlimbwende,na kuhusu kukubalika hauna haja ya kutumia elimu kubwa kujua hilo kwani hata watoto wadogo wa Mbeya wanalijua hilo.Wewe endelea kupiga kelele mwenzio anazidi kuchanja mbuga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ccm mmekaa madarakani kwa miaka karibu 60 nini mmetufanyia sisi wananchi?
Seriously !?
Screenshot_20191101-085446.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom