Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 13,417
- 23,310
Hatutaki kinyago period!!Sura ni uumbaji wa Mungu,Kuna msemo wa kichina kuwa uzuri wa kitu huwa machoni pa mtazamaji kwako mbaya ila kwa wengine ni bonge la mlimbwende,na kuhusu kukubalika hauna haja ya kutumia elimu kubwa kujua hilo kwani hata watoto wadogo wa Mbeya wanalijua hilo.Wewe endelea kupiga kelele mwenzio anazidi kuchanja mbuga.