Wana Mbeya shitukeni, CHADEMA wamegeuza jiji lenu maabara ya sera zao

Angalia Jijji la Wagogo linavyowaacha Mbeya. Miundombinu ya kisasa, majengo mazuri, mzunguko wa fedha mkubwa.

Mtaendelea kuuza maparachichi milele
Saizi Kila kitu Dodoma imeacha Mbeya .

Mbeya ndio Jiji la hovyo kuliko yote kiasi ya kulinganisha na Vijiji kama Kahama.

Badala ya ku focus kwenye maendeleo watu wako busy na mambo ya kipuuzi ya kina Lisu na kundi lao.
 
Ina maana wewe ni zombi? Huwezi kutumia jicho la tatu ama kufikiri nje ya sanduku, nakuuliza na wewe mbeya unatoka shehemu gani halafu nilikwambia ili uwe sambamba na mimi uwe na ufahamu wa kutosha kuhusu ostracism and human herding kama unafahamu twende kazi, ( remember I can not be brain washed am knowledgeable), mimi ndiyo naweza kukusafisha fuvu lako
 
Kwani wewe kwenu wapi ili tujue kama mkoa wako una maendeleo kuliko mbeya, Kwani huyo Tulia kaleta nini, kaongeza kitu gani kutoka CCM kwa miaka aliyoongoza?

Mbeya watu wana misimamo yao isiyoyumba wakisema ni nyeusi ujue nyeusi kama nyekundu ujue ni nyekundu hawajipendekezi kijinga hata kununuliwa hawajumuiki kirahisi, wamejifunza kujitegemea husikii kelele za serikali ifanye hivi au ifanye vile, wao maisha yanasonga, serikali ifanye au isifanye huwezi sikia eti mbeya kuna njaa, ndio maana wanajiamini, mikoa ya wengine wanafikia moyoni kwasababu wanaogopa wakisema fyooo, njaa ikiwakumba watakosa chakula cha msaada
 
Error 404
 
Jicho la tatu ni lipi hilo ?
 
Natoka sehemu 3. Asili Mbeya Vijijini. Makuzi Mwanjelwa kwa wazazi na nilikojenga New Forest ila wanaishi wapangaji. Mimi niko Mbezi Beach Far es Salaam.

Nimbetembea miji yote ya Tanzania na nikaona consciousness ya watu na maendeleo. Ila sijaona huo ujinga wenu mnaokumnatia akina Sugu na FORM IV failures zao. Amegeuza Mbeya vijiwe vya bangi
 
Hope utakuwa umeokoka na unampenda yesu
 
Bro acha kudanganya, kwanza arusha ina makabila mengi na si kweli eti usipokuwa mchaga huchaguliwi, wenyeviti wengi wa mitaa ni maasai, wachaga wapo kidogo mno, wengine ni makabila ya nje. Na kule wanakupa kama una uzoefu na eneo husika na umekaa muda mrefu , si kabila

Humu ndani kuna wazaliwa, na wazoefu la na wakaazi wa hili jiji tokea 80s, usidhani unaandilia watoto
 
Aibu yako hii na chuki yako kwa Chadema,hivi shule ulienda kusomea ujinga?
 
To think out side the box, binadamu ana akili sana binadamu huyo huyo ni mvivu wa kufikiri
Kwa nini uende outside the Box wakati ndani ya Box kuna majibu yote.

Mimi nijibu straight acha cheap jargons. Lini ulisikia Moshi kuna maandamano?

Pili baada ya Mrisho Gambo kuwa RC Arusha unaonaje biashara ya utalii ilivyopanda as opposed na kipindi cha Godbless Lema?
 
Huyo jamaa uchawa kwa Samia umetoa akili sana hana tofauti na Lucas Mwashambwa ujinga mwingiiii.
 
Huyu mjinga ameamua kuitumia Chadema kuitukana Mbeya na wana Mbeya, angalia post zake anaponda mji wa Mbeya anauita kijiji kikubwa na wana Mbeya kuwa ni vilaza wasiojitambua wanaendeshwa na Wachaga.
 
Yaani kujenga HOVYO nyumba za matope mjini ndiyo kujitambua?? Kujaza mabajaj barabarani mpaka kudababisha foleni ndiyo kujitambua?? Jiji limekuwa KIJIJI kikubwa ndiyo mnaona ndiyo upinzani. Nyambaàaf
Ungeanzisha uzi moja kwa moja tu kuitukana Mbeya na watu wake bila kuzunguka mbuyu kuitumia Chadema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…