ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Saizi Kila kitu Dodoma imeacha Mbeya .Angalia Jijji la Wagogo linavyowaacha Mbeya. Miundombinu ya kisasa, majengo mazuri, mzunguko wa fedha mkubwa.
Mtaendelea kuuza maparachichi milele
Mbeya ndio Jiji la hovyo kuliko yote kiasi ya kulinganisha na Vijiji kama Kahama.
Badala ya ku focus kwenye maendeleo watu wako busy na mambo ya kipuuzi ya kina Lisu na kundi lao.