Wana sayansi waanza kukukbali uwepo wa Mungu

Wana sayansi waanza kukukbali uwepo wa Mungu

"Is this scientific statement", hilarious.

Nimesema Maimuuunaaa.

Nipe proof kama unayo.

Kama huna huwezi kubisha.
Can you prove that these statements really deserve answers?
 
Is this scientific statement? Can it be proved?
Silly!

Ni proof ya aina gani anayo hitaji , kwanza namna alivyoandika anaonyesha mapungufu makubwa katika kufikiri. Huwezi andika " hakuna MTU..." Hiyo ni sentensi ya binadam asiyefikiri. Dunia inawatu Karibia 6b MTU anaandika hakuna MTU,ina maanisha ametafiti katika watu wote ? Kiranga ni aibu kama hujagundua makosa kwenye andiko la "hakuna MTU..."
 
Last edited by a moderator:
Umeshindwa kuelewa argument from complexity ilivyohusishwa.
Katika hesabu, hatugawanyi kwa sifuri. Ni mwiko.
Kwanini ni mwiko?
Na hatuwezi kuhesabu mpaka infinity, ni mwiko.
Hatuwezi kuhesabu hadi infinity halafu ni mwiko?
Kivipi?

Inawezekanaje uwe huwezi kutembea kwa miguu kutoka Dar hadi Pretoria halafu hapo hapo iwe mwiko kufika Pretoria?
Lakini the fact kwamba hatuwezi kuhesabu mpaka infinity haituzuii kutumia kanuni ya kwamba hatuwezi kugawanya infinity kwa sifuri.
Hili linawezekana kama utakuwa unajua infinity kwa hakika
Ingawa hatuijui infinity ina value gani.
Unawezaje kusema kitu fulani kinaweza kugawanyika au unaweza kukigawanya na kingine wakati hujui thamani yake?
Sihitaji kujua mungu ni kitu gani ili kujua kwamba the complexity argument does not hold water.
Sio kweli kabisa
Unapotaka kujua kama gari fulani linaweza kubeba mzigo fulani ni hadi ujue uzito wa mzigo wenyewe na uwezo wa gari wa kubeba mizigo

Huwezi kukurupuka huko na ukasema kunguru anaweza kunya kinyesi cha kuweza kujaza pipa kwa mara moja bila kufanya utafiti na kujua kunguru anakula chakula kiasi gani na ana ukubwa gani

Huwezi kudai kuwa kwa kuwa Mungu nae atakuwa na muumbaji wakati hata Mungu mwenyewe humjui ni nini na yukoje

Ni sawa na ujaribu kusema umeme umeumbwa na MaxShimba wakati hata uwezo wa MaxShimba huujui

Unajicontradict mkulima ....!!!!!!!!!
 
Who told you that they are looking for an answer, let alone deserve it?

Or is that just another one of your misguided ass-umptions?

So you asked without expecting answers. I said you are amusing!
And your atheist deacons and parishioners think you are a genius?
Truly fool have said in his heart there is no God!
When you become an atheist some bolts and nuts are purposely not working!
 
So you asked without expecting answers. I said you are amusing!
And your atheist deacons and parishioners think you are a genius?
Truly fool have said in his heart there is no God!
When you become an atheist some bolts and nuts are purposely not working!

Nafikiri ni mmoja wa wenye kipaji cha kukariri sana, hawezi kupambanua mambo, chunguza hoja zake kuhusu complexity, mungu na alivyoviumba kwa upande mmoja Jumbo jet na kiti kwa upande mwingine...
 
So you asked without expecting answers. I said you are amusing!
And your atheist deacons and parishioners think you are a genius?
Truly fool have said in his heart there is no God!
When you become an atheist some bolts and nuts are purposely not working!

I was merely ridiculing your Maimuna diction.

That does not necessarily warrant an answer.
 
Though wasn't directed to me I will throw my 2 cents.
God owns the universe and have "a title deed" so to speak.
God have left satan for a while before He once and for all takes what is rightful His and give the devil what he deserves. That will happen in Owner's own decided time. The Bible outlines events leading to that time. Some call it escatology but its History spelled in advance. One of the thing is God will let man see effects of sin to its fullness. We see denial of God, praise of sin, love of money, lust of the flesh and love of self right here at JF. This is just the beginning of birth pangs....
HTH!

Zakumi GODS kingdom is holy and never in a sinfull place ,where satan was thrown We say everywhere because nobody knows where he is but he communicates holly

Stefano Mtangoo:

Thanks for your two cents. Could you please compare what you have said and what honorable Thinky thinks? It seems to me that even though both of you believe in God and quote the Bible, you don't agree on the kingdom of God. You think the whole universe is the kingdom of God. Whereas, Thinky believes that the kingdom of "God is holy and never in a sinful place". As you indicate in your post, we sin right here at JF. Do we live in the kingdom of God? According to Thinky, we don't because we commit sins here.
 
Though wasn't directed to me I will throw my 2 cents.
God owns the universe and have "a title deed" so to speak.
God have left satan for a while before He once and for all takes what is rightful His and give the devil what he deserves. That will happen in Owner's own decided time. The Bible outlines events leading to that time. Some call it escatology but its History spelled in advance. One of the thing is God will let man see effects of sin to its fullness. We see denial of God, praise of sin, love of money, lust of the flesh and love of self right here at JF. This is just the beginning of birth pangs....
HTH!


Mambo yale yale yanaendelea. Kwanini unasema "HE deserves"? kwanini tunamzungumzia shetani kama "he"?
 
thats it simple logical expression i say so because humans do things by excuting thoughts e.g when i build a house for rent at chalinze and live at my territory or maybe my owncastle in united kingdom it doesnt mean the house isnt mine but laws and rules in my territory are costant but in chalinze they may decide to go with my rules or not if at al i gave them bcos they dnt see me and am very far from them.
 
Hao wanasayansi walichimba 14.4km from the earth surface na kudhani walitoboa kufikia moto wa kuzimu.
Lakini wanasayansi pia wanasema kuna layers 4 kwenye dunia yetu.
Ntakuwekea hapa chini kisha ujiulize hao warusi walifikia layer gani.
1.crust=0-50km
2.mantle=10-2890km
3.outer core=2890-5150km
4.inner core=5150-6370km(from the earth surface).
Tafakari.

Mimi msomaji tu
 
Mungu uturehemu sisi binadamu wakosaji kwa maana upeo w2 ni wa kibinadamu na ni wakosaji.
 
Wewe ukitaja jina "MUNGU" utaona Wana- wa-Saya-n'si wanavyo pandwa mtindio!

Those diabolical non theists speaks more about God than theists. It's interesting isn't it?
[h=1]Why Do Non-theists Get So Angry When Christians Talk About Their Unbelief?[/h]
Because there is "GOD"
 
Katika makala haya, tutaangalia jinsi wanasayansi wa kawaida, tena ambao walikuwa hawaamini kabisa kwamba kuna Mungu au shetani, katika utafiti wao ambao haukuwa na uhusiano wowote na masuala ya rohoni, walijikuta wanagundua mambo ambayo yaliwatia hofu hadi wengine kukimbia kazi. Waliweza kusikia waziwazi sauti za vilio vya mateso kutokea katikati ya dunia! Sauti hizo walizirekodi; na mwisho wa makala haya utaona anwani inayoweza kukupeleka kuzisikia sauti hizo za kutisha na kusikitisha mno, mno!!

Ni nani ambaye hajasikia habari za kwamba wanga huenda baharini, wakatupa mayai viza kisha malango yanafunguka nao wanashuka hadi kuzimu? Bila shaka habari hizi si ngeni masikioni mwa wengi wetu? Ni mambo ambayo ni rahisi kuaminika katika ulimwengu wa kawaida lakini unapoyaongelea kwa mtazamo wa Biblia, hapo watu wanaanza kukosa imani na kudhani kuwa si za kweli.

Makala haya yanatokana na habari ambayo iliandikwa katika gazeti la Ammennusatia la kule Finland katika toleo lake la Julai 1989.

Sehemu ya gazeti

Kikundi kimoja cha wanajiologia (wana elimu ya miamba) wa Kirusi walikuwa katika mradi wa kutoboa tundu katika eneo la Kola, karibu na Murmansk; maili takriban 150 kaskazini mwa Duara la Aktiki, nchini Siberia. Watafiti hao waliweza kutoboa tundu ardhini lenye urefu wa kilometa 14.4 kwenda chini.

Dr Azzacov, ambaye alikuwa ndiye meneja wa mradi alisema kuwa wakati wa kutoboa, ghafla drili ilianza kuzunguka bila utaratibu, hali iliyoonyesha kwamba drili imefika kwenye sehemu iliyo na uwazi.

“Taarifa tunazokusanya ni za kushangaa sana, kiasi kwamba kwa kweli tumeingiwa na hofu maana hatujui kile tunachoweza kukikuta huko chini,” alisema Dr Azzacov.

“Jambo la pili lililotushangaza lilikuwa ni kiwango cha joto tulichokigundua katikati ya dunia. Mahesabu yanaonyesha kuwa joto hilo lilikuwa takribani nyuzi 1,000 za Selsiasi,” aliongeza kusema Dr Azzacov. “Hii ni zaidi ya kile tulichotegemea. Inaonekana ni kama moto wa jehanamu unawaka kwa nguvu sana humo ndani, katikati ya dunia!”

“Ugunduzi wa mwisho ndio uliokuwa wa kushitua sana masikioni mwetu kiasi kwamba wanasayansi wana hofu kubwa ya kuendelea na mradi huu. Tulikuwa tukijaribu kusikiliza mjongeo wa dunia kila baada ya muda fulani kwa kutumia vinasasauti vya hali ya juu sana (supersensitive microphones), ambavyo tulikuwa tukivishusha hadi chini kupitia kwenye tundu tulilotoboa.”

Dr Azaccov anaendelea kueleza kwamba, “Kile tulichosikia, wanasayansi hawa ambao wamezoea tu kuamini mambo yanayoleta mantiki akilini, kiliwafanya kutetemeka kwa hofu kubwa mno! Wakati mwingine hicho tulichokisikia kilisikika kwa sauti ya chini lakini kali ambayo mwanzoni tulidhani inatokana na vifaa vyetu.”

“Lakini baada ya kuvirekebisha, tulibaini kwamba zilikuwa ni sauti zilizotoka katikati ya dunia kabisa. Hatukuamini masikio yetu. Tulisikia sauti ya mwanadamu akipiga kelele kwa maumivu. Japokuwa sauti moja ilikuwa inasikika kwa uwazi zaidi, tuliweza kusikia kwa nyuma sauti za maelfu, na huenda mamilioni ya watu wakilia kwa mateso na maumivu.

“Baada ya ugunduzi huu wa kutisha, nusu ya wanasayansi waliachana na mradi huo kutokana na hofu. Ni matumaini yangu kuwa hicho kilichoko huko chini kitabia hukohuko,” aliongezea Dr Azzacov.

“Na kilichowamaliza kabisa nguvu hawa wanasayansi wa Kisovieti, mbali na hizo sauti walizozisikia, ilikuwa ni kutokea usiku uleule kwa gesi inayong’aa kutoka kwenye tundu lile walilokuwa wamelitoboa; na katikati yake alijitokeza kiumbe mwenye mabawa kama ya popo pamoja na maneno yaliyokuwa yameandikwa kwa Kirusi ‘Nimeshinda’.”

Baada ya mkasa huo, Dr Azzacove alisema, “Mimi kama mkomunisti, siamini juu ya mbingu au Biblia, lakini kama mwanasayansi, hivi sasa naamini juu ya kuwapo kwa kuzimu. Ni kweli tuliogopa sana kutokana na ugunduzi huo. Lakini tunajua fika kile tulichokiona na kukisikia. Tunaamini kabisa kuwa tulitoboa tundu kwenye lango la kuzimu yenyewe!”

dah!hizo sauti zipo bhana..zinatisha watu wanakula mateso huko chini
 
nilidhani baada ya kusoma uzi huu ningemkuta Kiranga kalegeza msimamo wa kutoamini uwepo wa MUNGU, kumbe wapi.namuonea huruma sana.ila nina imani ipo siku aliye na mamlaka kuu kushinda zote,atajidhihirisha kwake kwa namna atakayo jichagulia.praise the lord and say AMEN

Amen...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom