Mtangoo
JF-Expert Member
- Oct 25, 2012
- 6,167
- 5,613
Can you prove that these statements really deserve answers?"Is this scientific statement", hilarious.
Nimesema Maimuuunaaa.
Nipe proof kama unayo.
Kama huna huwezi kubisha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Can you prove that these statements really deserve answers?"Is this scientific statement", hilarious.
Nimesema Maimuuunaaa.
Nipe proof kama unayo.
Kama huna huwezi kubisha.
Can you prove that these statements really deserve answers?
Is this scientific statement? Can it be proved?
Silly!
Kwanini ni mwiko?Umeshindwa kuelewa argument from complexity ilivyohusishwa.
Katika hesabu, hatugawanyi kwa sifuri. Ni mwiko.
Hatuwezi kuhesabu hadi infinity halafu ni mwiko?Na hatuwezi kuhesabu mpaka infinity, ni mwiko.
Hili linawezekana kama utakuwa unajua infinity kwa hakikaLakini the fact kwamba hatuwezi kuhesabu mpaka infinity haituzuii kutumia kanuni ya kwamba hatuwezi kugawanya infinity kwa sifuri.
Unawezaje kusema kitu fulani kinaweza kugawanyika au unaweza kukigawanya na kingine wakati hujui thamani yake?Ingawa hatuijui infinity ina value gani.
Sio kweli kabisaSihitaji kujua mungu ni kitu gani ili kujua kwamba the complexity argument does not hold water.
Who told you that they are looking for an answer, let alone deserve it?
Or is that just another one of your misguided ass-umptions?
So you asked without expecting answers. I said you are amusing!
And your atheist deacons and parishioners think you are a genius?
Truly fool have said in his heart there is no God!
When you become an atheist some bolts and nuts are purposely not working!
Sijakusoma. Msamiati gani huo?:a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13:
So you asked without expecting answers. I said you are amusing!
And your atheist deacons and parishioners think you are a genius?
Truly fool have said in his heart there is no God!
When you become an atheist some bolts and nuts are purposely not working!
Though wasn't directed to me I will throw my 2 cents.
God owns the universe and have "a title deed" so to speak.
God have left satan for a while before He once and for all takes what is rightful His and give the devil what he deserves. That will happen in Owner's own decided time. The Bible outlines events leading to that time. Some call it escatology but its History spelled in advance. One of the thing is God will let man see effects of sin to its fullness. We see denial of God, praise of sin, love of money, lust of the flesh and love of self right here at JF. This is just the beginning of birth pangs....
HTH!
Zakumi GODS kingdom is holy and never in a sinfull place ,where satan was thrown We say everywhere because nobody knows where he is but he communicates holly
Though wasn't directed to me I will throw my 2 cents.
God owns the universe and have "a title deed" so to speak.
God have left satan for a while before He once and for all takes what is rightful His and give the devil what he deserves. That will happen in Owner's own decided time. The Bible outlines events leading to that time. Some call it escatology but its History spelled in advance. One of the thing is God will let man see effects of sin to its fullness. We see denial of God, praise of sin, love of money, lust of the flesh and love of self right here at JF. This is just the beginning of birth pangs....
HTH!
Ulitaka tusemeje?Mambo yale yale yanaendelea. Kwanini unasema "HE deserves"? kwanini tunamzungumzia shetani kama "he"?
Hao wanasayansi walichimba 14.4km from the earth surface na kudhani walitoboa kufikia moto wa kuzimu.
Lakini wanasayansi pia wanasema kuna layers 4 kwenye dunia yetu.
Ntakuwekea hapa chini kisha ujiulize hao warusi walifikia layer gani.
1.crust=0-50km
2.mantle=10-2890km
3.outer core=2890-5150km
4.inner core=5150-6370km(from the earth surface).
Tafakari.
Mimi msomaji tu
Katika makala haya, tutaangalia jinsi wanasayansi wa kawaida, tena ambao walikuwa hawaamini kabisa kwamba kuna Mungu au shetani, katika utafiti wao ambao haukuwa na uhusiano wowote na masuala ya rohoni, walijikuta wanagundua mambo ambayo yaliwatia hofu hadi wengine kukimbia kazi. Waliweza kusikia waziwazi sauti za vilio vya mateso kutokea katikati ya dunia! Sauti hizo walizirekodi; na mwisho wa makala haya utaona anwani inayoweza kukupeleka kuzisikia sauti hizo za kutisha na kusikitisha mno, mno!!
Ni nani ambaye hajasikia habari za kwamba wanga huenda baharini, wakatupa mayai viza kisha malango yanafunguka nao wanashuka hadi kuzimu? Bila shaka habari hizi si ngeni masikioni mwa wengi wetu? Ni mambo ambayo ni rahisi kuaminika katika ulimwengu wa kawaida lakini unapoyaongelea kwa mtazamo wa Biblia, hapo watu wanaanza kukosa imani na kudhani kuwa si za kweli.
Makala haya yanatokana na habari ambayo iliandikwa katika gazeti la Ammennusatia la kule Finland katika toleo lake la Julai 1989.
Sehemu ya gazeti
Kikundi kimoja cha wanajiologia (wana elimu ya miamba) wa Kirusi walikuwa katika mradi wa kutoboa tundu katika eneo la Kola, karibu na Murmansk; maili takriban 150 kaskazini mwa Duara la Aktiki, nchini Siberia. Watafiti hao waliweza kutoboa tundu ardhini lenye urefu wa kilometa 14.4 kwenda chini.
Dr Azzacov, ambaye alikuwa ndiye meneja wa mradi alisema kuwa wakati wa kutoboa, ghafla drili ilianza kuzunguka bila utaratibu, hali iliyoonyesha kwamba drili imefika kwenye sehemu iliyo na uwazi.
Taarifa tunazokusanya ni za kushangaa sana, kiasi kwamba kwa kweli tumeingiwa na hofu maana hatujui kile tunachoweza kukikuta huko chini, alisema Dr Azzacov.
Jambo la pili lililotushangaza lilikuwa ni kiwango cha joto tulichokigundua katikati ya dunia. Mahesabu yanaonyesha kuwa joto hilo lilikuwa takribani nyuzi 1,000 za Selsiasi, aliongeza kusema Dr Azzacov. Hii ni zaidi ya kile tulichotegemea. Inaonekana ni kama moto wa jehanamu unawaka kwa nguvu sana humo ndani, katikati ya dunia!
Ugunduzi wa mwisho ndio uliokuwa wa kushitua sana masikioni mwetu kiasi kwamba wanasayansi wana hofu kubwa ya kuendelea na mradi huu. Tulikuwa tukijaribu kusikiliza mjongeo wa dunia kila baada ya muda fulani kwa kutumia vinasasauti vya hali ya juu sana (supersensitive microphones), ambavyo tulikuwa tukivishusha hadi chini kupitia kwenye tundu tulilotoboa.
Dr Azaccov anaendelea kueleza kwamba, Kile tulichosikia, wanasayansi hawa ambao wamezoea tu kuamini mambo yanayoleta mantiki akilini, kiliwafanya kutetemeka kwa hofu kubwa mno! Wakati mwingine hicho tulichokisikia kilisikika kwa sauti ya chini lakini kali ambayo mwanzoni tulidhani inatokana na vifaa vyetu.
Lakini baada ya kuvirekebisha, tulibaini kwamba zilikuwa ni sauti zilizotoka katikati ya dunia kabisa. Hatukuamini masikio yetu. Tulisikia sauti ya mwanadamu akipiga kelele kwa maumivu. Japokuwa sauti moja ilikuwa inasikika kwa uwazi zaidi, tuliweza kusikia kwa nyuma sauti za maelfu, na huenda mamilioni ya watu wakilia kwa mateso na maumivu.
Baada ya ugunduzi huu wa kutisha, nusu ya wanasayansi waliachana na mradi huo kutokana na hofu. Ni matumaini yangu kuwa hicho kilichoko huko chini kitabia hukohuko, aliongezea Dr Azzacov.
Na kilichowamaliza kabisa nguvu hawa wanasayansi wa Kisovieti, mbali na hizo sauti walizozisikia, ilikuwa ni kutokea usiku uleule kwa gesi inayongaa kutoka kwenye tundu lile walilokuwa wamelitoboa; na katikati yake alijitokeza kiumbe mwenye mabawa kama ya popo pamoja na maneno yaliyokuwa yameandikwa kwa Kirusi Nimeshinda.
Baada ya mkasa huo, Dr Azzacove alisema, Mimi kama mkomunisti, siamini juu ya mbingu au Biblia, lakini kama mwanasayansi, hivi sasa naamini juu ya kuwapo kwa kuzimu. Ni kweli tuliogopa sana kutokana na ugunduzi huo. Lakini tunajua fika kile tulichokiona na kukisikia. Tunaamini kabisa kuwa tulitoboa tundu kwenye lango la kuzimu yenyewe!
nilidhani baada ya kusoma uzi huu ningemkuta Kiranga kalegeza msimamo wa kutoamini uwepo wa MUNGU, kumbe wapi.namuonea huruma sana.ila nina imani ipo siku aliye na mamlaka kuu kushinda zote,atajidhihirisha kwake kwa namna atakayo jichagulia.praise the lord and say AMEN