Unapotumia argument ya complexity kusema kwamba "the universe is so complex, therefore it must be created" au "the human brain and body is so complex, therefore it must be created" unasema kwamba kitu complex ni lazima kiwe created.
Kama mwanadamu au ulimwengu ni vitu complex, na vitu complex ni lazima viwe created, then kilichoumba hivi vitu complex ni lazima kiwe complex zaidi.
Na kama ni complex zaidi, basi haja ya hicho kilichoumba kuwa created kuwa nacho kimeumbwa ni kubwa zaidi.
Kwa sababu our principle is that complexity must be created, and it follows that greater complexity has a greater need to be created than smaller complexity.
Ndiyo maana nikakwambia huwezi kusema kiti cha kukalia ni lazima kiwe kimetengenezwa, kwa sababu ni complex, lakini binadamu aliyekitengeneza kiti awe hajaumbwa.
Au jumbo jet lenye viti mia kadhaa na uwezo wa kuruka bara mpaka bara, liwe halijaumbwa.
Ukitumia complexity as an argument for creationism, instrisically unasema kwamba mungu kaumbwa, na aliyemuumba kaumbwa ad infinitum, ad absurdum.