Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Mkuu Nyumbu, kumhusu Mungu na shetani, nimeishamzungumza sana hapa, huku nimezungumza kwanzaMkuu@pasco, umeongea vizuri, lakini mwisho umeingia woga kwa kumfagilia Mungu dhidi ya shetani. Swali hapa ni Je nani aliumba mwingine? Is satan self made, and if not was he made by God? Na kama alitengezwa na Mungu, alitengenezwa for wahta purpose? Na kama alitengenezwa aharibu ulimwengu, why are we makining a ----ing noise kumpinga shetani makanisani na misikitini kumsaidia Mungu asituharibu?
- Kwanza mwanzo wa Mungu na shetani, na wengi hawajui kuwa shetani hapo mwanzo alikuwa ndie malaika mkuu with powers na uwezo next to God and second to none!.
- Kwa nini shetani aliasi, na jee baada ya kuwa shetani alinyang'anytwa zile nguvu na kwa nini hakunyang'anywa!.
- Nikaeleze kuwa shetani ndie source of all evils na ana as much powers as God, almost all that God can do, the devil can do saves uumbaji na utoaji roho!. Yaani God is the creator and giver of life ambayo shetani hawezi, na devil ndie the destroyer of all that God has created!.
- Nimeeleza kwa nini kama Mungu aliupenda hivi ulimwengu hasdi kumtoa Mwanae mpendwa wake ili kuja kuukomboa ulimwengu, kwa nini asingemuangamiza tuu huyo shetani, na badala yake ni huyo huyo shetani alikuja kumjaribu hadi Mwana wa Mungu, na hatimaye kusulubiwa hadi kufa kwa kifo cha aibu, kisa ni shetani!.
- Pia nimeeleza kwa kirefu jinsi sisi binadamu tulivyo umbwa kwa mfano wa Mungu na jinsi tulivyo na nguvu za Mungu.
Pasco