Wana sayansi waanza kukukbali uwepo wa Mungu

Wana sayansi waanza kukukbali uwepo wa Mungu

Who said its weakness? I was showing your religion is not science since it fails to pass the test!

What religion? Which test?

Your god has failed the test of being provable if you are so bent on tests.

Otherwise, prove that god exists.
 
Binafsi ninachoweza kusema so far nikwamba sifahamu tumetoka wapi na sidhani kama ni kosa au ni kutokwa na akili kusema hivyo.
Evolution theory imejitahidi kutueleza tumetoka wapi japo sikubalianinayo kwa mengi, aidha dini inajaribu kufanya hivyo isipokuwa namna dini inavyomuelezea Mungu na utendaji wake ndivyo vitu hasa vinavyofanya baadhi ya watu kum-doubt huyo Mungu na hivyo kufikiri pengine kuna kitu hatufahamu kuhusu Mungu.

Darasa zuri sana hili
 
Mkuu usiongee basi kama umemeza sana science, field ya quantum physics waachie wenyewe, hata wababe kwenye hiyo field bado wanasema theres something beyond,

Something beyond does not need be god, hata mimi najua kuna vingi havijaeleweka, hilo halimaanishi ni lazima visivyoeleweka viwe mungu.

sababu science inastudy nature doesn't mean it goes against creation,

That's why I gave the opportunity kwa watu wanaoamini mungu wa prove kwamba mungu yupo na ndiye muumba. Hawajafanya hivyo.



we unadhani hata wanaoamini Mungu hawaamini science?

Obviously hujanisoma, nimetaja wanasayansi magwiji walioamini mungu. Suala si unaamini nini, suala ni unajua nini na unawezaje ku prove hilo.

Kuamini unaruhusiwa kuamini chochote, as long as unaamini.

ulipewa akili ili uweze kustudy uumbaji ulivofanyika vilevile.. Kama watu wanakubaliana na BigBang theory,


Big Bang theory nimeichana hapo juu, watu gani hao unaowaongelea?

basi wapingane na Law of conservation of energy maana watakua wanakubaliana kua all this energy simply came from nothing,

Wanaosema mungu katokea tu, yupo tu, na kaumba ulimwengu kwa neno tu ndio wanaopingana na laws of physics, sio mimi ninayehitaji proof.

who has proven the bigbang with concrete evidence??

Big Bang theory nishaichana hapo juu, na jina la kitabu cha ku refer nimekitoa, hujasoma post unanilundika na wafuasi wa big bang theory?

simply, No one.. Kama ambavyo hamna aliyeshawahi kutengeneza devices za perpetual motion, basi vilevile wasiamini bigbang... Religion unaweza ukaidharau simply cause hujaingia deep kujua what really goes on inside, we mbona uchawi upo na unaonekana? mtu anapaaje bila fuel? au coz vimefichwa machoni kwako huoni? nenda swanga ulizia utaonyeshwa maajabu, human teleportation kwa kutumia rungu ndio utakavorudi kuanza kuelezea ma string theory hapa kua ulipelekwa parallel universe kwa kua simply hutotaka kuamini..

Unaamini uchawi na mtu kupaa bila fuel, no wonder.

Na hata kama uchawi upo kweli, that does not prove mungu yupo.

Arthur C. Clarke said "Any sufficiently advanced technology is indistinguishable from magic"

Kama watu walioishi in the 1200 wangeona jet inaruka na watu hewani, wangedhani ni uchawi na kuwaona marubani ni miungu.

Ndiyo maana watu weupe tumewaita "wazungu", etimologically root ya neno "mzungu" "mulungu" "mungu" ni moja.

Tunamlundikia "mungu" vitu tusivyovielewa.
 
Evolution theory haikidhi kabisa swali la chanzo chetu.

Mkuu, kulingana na wakati alioishi mzee watu, technology iliyokuwepo na muda alioutumia katika maisha yake kufanya utafiti, nashindwa kusema moja kwa moja kuwa haikidhi kueleza ilichoelezea.
 
Evolution theory haikidhi kabisa swali la chanzo chetu.

Ina mengi ambayo hayajaeleweka, the same applies to the big bang theory.

Kwangu mimi uzuri wa sayansi si kwamba ina kila jibu la kila swali, bali kwamba inakubali kwamba haina kila jibu la kila swali.

Uzuri wa sayansi ni ile scientific process inayoruhusu uchunguzi, inayopenda maswali magumu.

Inayoweza ku converge kwenye ukweli hata kama ukweli hatuujui sasa.

Inayoweza kutoa predictions na predictions zikawa tested.

Inayokubali experimentation ku establish repeatability.

Sio unaambiwa kuamini tu kwa sababu mungu kasema.

Ukitaka uthibitisho kwamba mungu yupo, unaambiwa unakufuru.
 
Ina mengi ambayo hayajaeleweka, the same applies to the big bang theory.

Kwangu mimi uzuri wa sayansi si kwamba ina kila jibu la kila swali, bali kwamba inakubali kwamba haina kila jibu la kila swali.

Uzuri wa sayansi ni ile scientific process inayoruhusu uchunguzi, inayopenda maswali magumu.

Inayoweza ku converge kwenye ukweli hata kama ukweli hatuujui sasa.

Inayoweza kutoa predictions na predictions zikawa tested.

Inayokubali experimentation ku establish repeatability.

Sio unaambiwa kuamini tu kwa sababu mungu kasema.

Ukitaka uthibitisho kwamba mungu yupo, unaambiwa unakufuru.

I agree with everything you said (wrote).

Kwenye sayansi hakuna kufuru. Na hakuna kuburuzwa buruzwa tu bila kuhoji.
 
Haya ni mahubiri ambayo hayajajibu swali la msingi la kwa nini mungu mjuzi wa yote, muweza yote, mwenye upendo wa juu karuhusu mabaya yawezekane.

Let me play devil's advocate for a second.

Mungu alimjua shetani na nyendo zake zote kabla shetani hajaumbwa, right? ( the answer must be right, if not, then god does not know everything)

Sasa shetani ambaye kashahukumiwa kuishi na kuwa shetani, kwa mujibu wa maono ya mungu,ambayo hayakosei,angewezaje kuepuka kuwa mbaya?

Na kama hakuweza kuepuka kuwa mbaya, mungu ana haki ya kumhukumu kwa ubaya?

Mkuu Kiranga, umeuliza swali gumu, lakini nalo lina majibu. Ni nzuri pia Pasco akisoma hii. Sio kwamba Mungu karuhusu mabaya yawezekane. Hapana. Ni zaidi ya hiyo. Mungu ndiye aliyemtengeneza Lucifer, huku akijua hakika kwamba atakuwa muasi, atakuwa mbaya. Na Lucifer huyo, asingeweza kuepuka kuwa mbaya. Asingeweza, kwa sababu Mungu ndiye aliyemtengeneza ili awe mbaya.

Sasa jibu la swali lako, kwamba ‘Mungu ana haki ya kumhukumu kwa ubaya?’. Ukifuata ‘reasoning’ ya kawaida ya sisi binadamu, Mungu ‘hana haki’ ya kumhukumu shetani kwa ubaya.

Lakini Mungu ana tabia nyingine ambayo inakwenda kinyume na ‘reasoning’ ya kibinadamu.
Mungu akitaka, anaweza kukuumba ili utende mabaya, halafu anakuhukumu kwa kutenda hayo mabaya. Pia Mungu akitaka, anakuumba utende mema (haki) halafu anakuzawadia uzima wa milele kwa kutenda hayo mema.
Hii ni tabia ya Mungu ambayo ni ngumu kwa sisi kukubaliana nayo. Maana ya wema wa Mungu haifanani na 'definition' ya binadamu ya wema.

Mwandishi wa kitabu cha Warumi kilicho katika Biblia ameandika hivi, ‘Romans 9:[SUP] 10[/SUP] …when Rebecca also had conceived by one, even by our father Isaac;
[SUP]11[/SUP] (For the children being not yet born, neither having done any good or evil, that the purpose of God according to election might stand, not of works, but of him that calleth😉
[SUP]12[/SUP] It was said unto her, The elder shall serve the younger.
[SUP]13[/SUP] As it is written, Jacob have I loved, but Esau have I hated (My comment: Mungu alimchagua Jacob, akamkataa Esau tangu wakiwa tumboni, wakiwa hawajatenda wala hawajui jema na baya- hii inatuonyesha kusudi lake la kumchagua amtakaye na kumkataa asiyemtaka).
[SUP]14[/SUP] What shall we say then? Is there unrighteousness with God? (My comment: Mwandishi alijiuliza swali kama unalouliza wewe!) God forbid.
[SUP]15[/SUP] For he saith to Moses, I will have mercy on whom I will have mercy, and I will have compassion on whom I will have compassion.
[SUP]16[/SUP] So then it is not of him that willeth, nor of him that runneth, but of God that sheweth mercy.
[SUP]17[/SUP] For the scripture saith unto Pharaoh, Even for this same purpose have I raised thee up, that I might shew my power in thee, and that my name might be declared throughout all the earth.
[SUP]18[/SUP] Therefore hath he mercy on whom he will have mercy, and whom he will he hardeneth.
[SUP]19[/SUP] Thou wilt say then unto me, Why doth he yet find fault? For who hath resisted his will?
[SUP]20[/SUP] Nay but, O man, who art thou that repliest against God? Shall the thing formed say to him that formed it, Why hast thou made me thus?
[SUP]21[/SUP] Hath not the potter power over the clay, of the same lump to make one vessel unto honour, and another unto dishonour?
[SUP]22[/SUP] What if God, willing to shew his wrath, and to make his power known, endured with much longsuffering the vessels of wrath fitted to destruction:
[SUP]23[/SUP] And that he might make known the riches of his glory on the vessels of mercy, which he had afore prepared unto glory…
Kwa hiyo, ni uamuzi wa Mungu, amrehemu yupi, na yupi amfanye kuwa mgumu. Pia ni uamuzi wa Mungu, kumtengeneza Lucifer/Satan na kumhukumu pia. It’s God’s choice that we cannot get ‘reasonable’ answers if we question Him’.
We should just bow our heads down and tell God, ‘If possible, let me be one of those on whom you will have mercy!’.
 
Last edited by a moderator:
Kadri idadi ya transistor kwa inchi moja mraba inavyoongezeka ndivyo uwezo wa kufanya maamuzi wa vifaa vitengenezwavyo na binadamu unavyoongezeka, bila kusahau ujuzi utaruhusu muda si mrefu binadamu kuwa na vipande vya mashine mwilini ukiweka umakini uwezo upo tayari wa kuzalisha/kutengeneza viumbe maabara.

... Ifikapo 2080, kikokotoo kitamuuliza simu mungu wetu nani?

Nadhani huu ubovu wa kufahamu mengi kwa kidogo tukijuacho ulisababishwa na Adamu kula lile tunda. Sisi ni kama bit tukimjadili programmer wakati uwezo wetu wakufikilia unaishia kwenye byte wala si terabyte.
 
Katika makala haya, tutaangalia jinsi wanasayansi wa kawaida, tena ambao walikuwa hawaamini kabisa kwamba kuna Mungu au shetani, katika utafiti wao ambao haukuwa na uhusiano wowote na masuala ya rohoni, walijikuta wanagundua mambo ambayo yaliwatia hofu hadi wengine kukimbia kazi. Waliweza kusikia waziwazi sauti za vilio vya mateso kutokea katikati ya dunia! Sauti hizo walizirekodi; na mwisho wa makala haya utaona anwani inayoweza kukupeleka kuzisikia sauti hizo za kutisha na kusikitisha mno, mno!!

Ni nani ambaye hajasikia habari za kwamba wanga huenda baharini, wakatupa mayai viza kisha malango yanafunguka nao wanashuka hadi kuzimu? Bila shaka habari hizi si ngeni masikioni mwa wengi wetu? Ni mambo ambayo ni rahisi kuaminika katika ulimwengu wa kawaida lakini unapoyaongelea kwa mtazamo wa Biblia, hapo watu wanaanza kukosa imani na kudhani kuwa si za kweli.

Makala haya yanatokana na habari ambayo iliandikwa katika gazeti la Ammennusatia la kule Finland katika toleo lake la Julai 1989.

Sehemu ya gazeti

Kikundi kimoja cha wanajiologia (wana elimu ya miamba) wa Kirusi walikuwa katika mradi wa kutoboa tundu katika eneo la Kola, karibu na Murmansk; maili takriban 150 kaskazini mwa Duara la Aktiki, nchini Siberia. Watafiti hao waliweza kutoboa tundu ardhini lenye urefu wa kilometa 14.4 kwenda chini.

Dr Azzacov, ambaye alikuwa ndiye meneja wa mradi alisema kuwa wakati wa kutoboa, ghafla drili ilianza kuzunguka bila utaratibu, hali iliyoonyesha kwamba drili imefika kwenye sehemu iliyo na uwazi.

"Taarifa tunazokusanya ni za kushangaa sana, kiasi kwamba kwa kweli tumeingiwa na hofu maana hatujui kile tunachoweza kukikuta huko chini," alisema Dr Azzacov.

"Jambo la pili lililotushangaza lilikuwa ni kiwango cha joto tulichokigundua katikati ya dunia. Mahesabu yanaonyesha kuwa joto hilo lilikuwa takribani nyuzi 1,000 za Selsiasi," aliongeza kusema Dr Azzacov. "Hii ni zaidi ya kile tulichotegemea. Inaonekana ni kama moto wa jehanamu unawaka kwa nguvu sana humo ndani, katikati ya dunia!"

"Ugunduzi wa mwisho ndio uliokuwa wa kushitua sana masikioni mwetu kiasi kwamba wanasayansi wana hofu kubwa ya kuendelea na mradi huu. Tulikuwa tukijaribu kusikiliza mjongeo wa dunia kila baada ya muda fulani kwa kutumia vinasasauti vya hali ya juu sana (supersensitive microphones), ambavyo tulikuwa tukivishusha hadi chini kupitia kwenye tundu tulilotoboa."

Dr Azaccov anaendelea kueleza kwamba, "Kile tulichosikia, wanasayansi hawa ambao wamezoea tu kuamini mambo yanayoleta mantiki akilini, kiliwafanya kutetemeka kwa hofu kubwa mno! Wakati mwingine hicho tulichokisikia kilisikika kwa sauti ya chini lakini kali ambayo mwanzoni tulidhani inatokana na vifaa vyetu."

"Lakini baada ya kuvirekebisha, tulibaini kwamba zilikuwa ni sauti zilizotoka katikati ya dunia kabisa. Hatukuamini masikio yetu. Tulisikia sauti ya mwanadamu akipiga kelele kwa maumivu. Japokuwa sauti moja ilikuwa inasikika kwa uwazi zaidi, tuliweza kusikia kwa nyuma sauti za maelfu, na huenda mamilioni ya watu wakilia kwa mateso na maumivu.

"Baada ya ugunduzi huu wa kutisha, nusu ya wanasayansi waliachana na mradi huo kutokana na hofu. Ni matumaini yangu kuwa hicho kilichoko huko chini kitabia hukohuko," aliongezea Dr Azzacov.

"Na kilichowamaliza kabisa nguvu hawa wanasayansi wa Kisovieti, mbali na hizo sauti walizozisikia, ilikuwa ni kutokea usiku uleule kwa gesi inayong'aa kutoka kwenye tundu lile walilokuwa wamelitoboa; na katikati yake alijitokeza kiumbe mwenye mabawa kama ya popo pamoja na maneno yaliyokuwa yameandikwa kwa Kirusi ‘Nimeshinda'."

Baada ya mkasa huo, Dr Azzacove alisema, "Mimi kama mkomunisti, siamini juu ya mbingu au Biblia, lakini kama mwanasayansi, hivi sasa naamini juu ya kuwapo kwa kuzimu. Ni kweli tuliogopa sana kutokana na ugunduzi huo. Lakini tunajua fika kile tulichokiona na kukisikia. Tunaamini kabisa kuwa tulitoboa tundu kwenye lango la kuzimu yenyewe!"

Sir;

I believe in God. However, sometimes I feel that some of us who believe in God have lost the argument on the existance of God and are trying to use any sources to prove their points. Sir, the article you have posted is a ridiculous and it doesn't take a scientist to demonstrate that it's a hoax.

My understaning is the inner core of the earth is very hot. My question is what type of material was the drill made of
that it didn't melt? It seems to me like the guy visited the center of volcano and he managed to come back to tell the story.

Please read the attachment. It is an excerpt from The Mythology of Supernatural: The Signs and Symbols Behind the Popular TV Show By Nathan Robert Brown
 

Attachments

Mkuu Kiranga, umeuliza swali gumu, lakini nalo lina majibu. Ni nzuri pia Pasco akisoma hii. Sio kwamba Mungu karuhusu mabaya yawezekane. Hapana. Ni zaidi ya hiyo. Mungu ndiye aliyemtengeneza Lucifer, huku akijua hakika kwamba atakuwa muasi, atakuwa mbaya. Na Lucifer huyo, asingeweza kuepuka kuwa mbaya. Asingeweza, kwa sababu Mungu ndiye aliyemtengeneza ili awe mbaya.

Sasa jibu la swali lako, kwamba ‘Mungu ana haki ya kumhukumu kwa ubaya?'. Ukifuata ‘reasoning' ya kawaida ya sisi binadamu, Mungu 'hana haki' ya kumhukumu shetani kwa ubaya.

Lakini Mungu ana tabia nyingine ambayo inakwenda kinyume na ‘reasoning' ya kibinadamu.
Mungu akitaka, anaweza kukuumba ili utende mabaya, halafu anakuhukumu kwa kutenda hayo mabaya. Pia Mungu akitaka, anakuumba utende mema (haki) halafu anakuzawadia uzima wa milele kwa kutenda hayo mema.
Hii ni tabia ya Mungu ambayo ni ngumu kwa sisi kukubaliana nayo. Maana ya wema wa Mungu haifanani na 'definition' ya binadamu ya wema.
Mkuu Rapture, hiki ulichoandika kuhumhusu Mungu ni abomination!, unamaanisha Mungu ndie Shetani!, Mungu ndie aliyemuumba shetani na aliyemuwezesha shetani kufanya ushetani?!. Baadhi ya vitendo vya kishetani vinavyotokea ni Mungu ndio ameviwezesha?! Yaani Mungu akuumbe ili utende mabaya (ushetani) halafu aje akuhukumu kwa huo ushetani aliokuumbia!?. No Way!.

Kuna tatizo kubwa la thinking limitations kwenye mwanza wa Mungu na sources of Godly Powers v/s mwanzo wa shetani na nguvu za kishetani!.

Kwa vile hakuna ajuaye mwanzo wa Mungu wala source of powers zake, nilisema logic yangu inaniambia mwanzo wa Mungu ndio mwanzo wa shetani! na source ya powers za Mungu ndio the same source ya powers za shetani!. Wengi mmeaminishwa Mungu alimuumba shetani, na kwa muktadha wako, ili aje amuasi, kisha amtume mwanaye mpendwa wake anayependezwa naye aje kuukomboa ulimwengu ulioteketezwa na shetani aliyemuumba ili aje kuufanya huo ushetani?!.

Kwa muktadha wako, Mungu alimuumba shetani ili aje kufanya huo ushetani, kisha akamtuma Huyo Mwanaye naye ili aje ajaribiwe na yule yule shetani aliyepewa ushetani na Mungu kisha ushetani huo ukatumika kumtesa, kumsulubisha hadi kifo msalabani?!.

Sorry hoja yako hii, doesn't make sense at all kea sababu its simply illogical!.
Naamini ulinisoma kule kuhusiana na Mungu na shetani, na sii nia yangu kuufufua tena ule mjadala, ila God is powers, good spirit, na shetani is power, bad spirit!, kila jema latoka kwa Mungu na kila baya latoika kwa shetani!.

Zile sifa kuu tatu za Mungu, omnipotence, omnipresent na omniscience, shetani pia anazo!. Mungu alipotuumba, alituumba kwa mfano wake na kutupa nguvu za Uungu ndani yetu, hivyo kwenye ile omnipesence ya Mungu, yumo ndani yetu na ametupa uwezo wa intellect, emotion na willpower ili tutende yaliyo mema, ila shetani pia ametumia omnipresence yake kutufikia tulipo na kwa kutumia nguvu za giza, kwa lengo la kutupoteza tusimtumikie Mungu!.

Japo tumeaminishwa kuwa only God ndio infinity, shetani ana mwisho wake!, take it from me, shetani pia hana mwisho na atakuwepo mpaka mwisho!.

Kitu ambacho nakubali ni kuwa Mungu ana nguvu zaidi ya shetani ni kwenye uumbaji, trinity na kuruhusu end of life ambavyo shetani hawezi!, inamaana hata shetani atende maovu vipi, hawezi kutoa roho wala kuumba, hivyo Mungu ni zaidi ya shetani!.

Pasco.
 
how many colours are there in a rainbow?how many continents in the world?how many days in a week?how many wonders of the world?how many holes in your body?GOD created the world in 6 days and rest the 7th,je zero ni hakipo,hakionekani au hakuna kitu?kama mbele ya zero ni moja na nyuma ni negative moja, na number hazina mwisho then GOD IS THERE ANYTIME.
 
shetani ni giza na MUNGU ni NURU (THERE IS NO SHADOW WITHOUT LIGHT AND NO DARK IN LIGHT HENCE GOD CREATED AN ANGEL WHO BATRAYED BUT GOD IN HUMAN INTELLECT AND REASONING KNEW BEFORE COS ONLY KNOWS EVERYTHING HE THROW HIM OUT OF KINGDON AND BECAME EVIL)
 
shetani ni giza na MUNGU ni NURU (THERE IS NO SHADOW WITHOUT LIGHT AND NO DARK IN LIGHT HENCE GOD CREATED AN ANGEL WHO BATRAYED BUT GOD IN HUMAN INTELLECT AND REASONING KNEW BEFORE COS ONLY KNOWS EVERYTHING HE THROW HIM OUT OF KINGDON AND BECAME EVIL)

Which Kingdom are you talking about? If the entire universe is the Kingdom of God, where does shetani live?
 
Pasco listen GOD gave you brain to excute and compute things but understand unapotoa your capability inategemea na IQ yako whethr low or high,pili mama angeanza kukupa pombe kabla ya maziWa ningeamini kwamba hata shetani naye alianza just thnk WHY YOU DONT WANT TO DIE?
 
Last edited by a moderator:
Which Kingdom are you talking about? If the entire universe is the Kingdom of God, where does shetani live?

Zakumi GODS kingdom is holy and never in a sinfull place ,where satan was thrown We say everywhere because nobody knows where he is but he communicates holly
 
Last edited by a moderator:
So planet earth doesn't belong to God because it's full of sin? Please educate me.

GOD loves us even more than angels he gave emotions ,we can sex,taste food ,do whatever but said do good and nt evil because i gave you mind to fight evil because am who wil be forever
 
Back
Top Bottom