mkuu
kiranga, umeuliza swali gumu, lakini nalo lina majibu. Ni nzuri pia
pasco akisoma hii. Sio kwamba mungu karuhusu mabaya yawezekane. Hapana. Ni zaidi ya hiyo. Mungu ndiye aliyemtengeneza lucifer, huku akijua hakika kwamba atakuwa muasi, atakuwa mbaya. Na lucifer huyo, asingeweza kuepuka kuwa mbaya. Asingeweza, kwa sababu mungu ndiye aliyemtengeneza ili awe mbaya.
Sasa jibu la swali lako, kwamba mungu ana haki ya kumhukumu kwa ubaya?. Ukifuata reasoning ya kawaida ya sisi binadamu, mungu
hana haki ya kumhukumu shetani kwa ubaya.
Lakini mungu ana tabia nyingine ambayo inakwenda kinyume na reasoning ya kibinadamu.
Mungu akitaka, anaweza kukuumba ili utende mabaya, halafu anakuhukumu kwa kutenda hayo mabaya. Pia mungu akitaka, anakuumba utende mema (haki) halafu anakuzawadia uzima wa milele kwa kutenda hayo mema.
Hii ni tabia ya mungu ambayo ni ngumu kwa sisi kukubaliana nayo. Maana ya wema wa mungu haifanani na 'definition' ya binadamu ya wema.
Mwandishi wa kitabu cha warumi kilicho katika biblia ameandika hivi, romans 9:[sup] 10[/sup]
when rebecca also had conceived by one,
even by our father isaac;
[sup]11[/sup] (for
the children being not yet born, neither having done any good or evil, that the purpose of god according to election might stand, not of works, but of him that calleth
😉
[sup]12[/sup] it was said unto her, the elder shall serve the younger.
[sup]13[/sup] as it is written,
jacob have i loved, but esau have i hated (my comment: Mungu alimchagua jacob, akamkataa esau tangu wakiwa tumboni, wakiwa hawajatenda wala hawajui jema na baya- hii inatuonyesha kusudi lake la kumchagua amtakaye na kumkataa asiyemtaka).
[sup]14[/sup] what shall we say then?
is there unrighteousness with god? (
my comment: Mwandishi alijiuliza swali kama unalouliza wewe!) god forbid.
[sup]15[/sup] for he saith to moses, i will have mercy on whom i will have mercy, and i will have compassion on whom i will have compassion.
[sup]16[/sup] so then
it is not of him that willeth, nor of him that runneth, but of god that sheweth mercy.
[sup]17[/sup] for the scripture saith unto pharaoh, even for this same purpose have i raised thee up, that i might shew my power in thee, and that my name might be declared throughout all the earth.
[sup]18[/sup] therefore
hath he mercy on whom he will have mercy, and
whom he will he hardeneth.
[sup]19[/sup]
thou wilt say then unto me, why doth he yet find fault? For who hath resisted his will?
[sup]20[/sup]
nay but, o man, who art thou that repliest against god? Shall the thing formed say to him that formed it, why hast thou made me thus?
[sup]21[/sup]
hath not the potter power over the clay, of the same lump to make one vessel unto honour, and another unto dishonour?
[sup]22[/sup]
what if god, willing to shew
his wrath, and to make his power known, endured with much longsuffering the vessels of wrath fitted to destruction:
[sup]23[/sup] and that he might make known the riches of his glory on the vessels of mercy, which he had afore prepared unto glory
kwa hiyo, ni uamuzi wa mungu, amrehemu yupi, na yupi amfanye kuwa mgumu. Pia ni uamuzi wa mungu, kumtengeneza lucifer/satan na kumhukumu pia. Its gods choice that we cannot get reasonable answers if we question him.
We should just bow our heads down and tell god, if possible, let me be one of those on whom you will have mercy!.