Wana Simba SC tumetamba vya kutosha huenda kuanzia leo nao Wakatamba kwa kutuacha kwa Alama (Points) Mbili (2)

Hatimaye leo umeotea mtu ngumi ya kidevu
 
Utabiri uliotukuka, hongera sana GENTA,
 
Weita yuko wapi unastahili kinywaji unachotaka
 
Leo umepatia ila mimi nipo kwa marefa.
Hivi kwa matukio kama haya Viongozi wa chama cha waamuzi na bodi ya ligi awaoni aibu?

Maana kama ni mtoto (marefa ) awaoni aibu basi ata nyinyi wazazi ( chama cha waamuzi) Amuoni aibu?

Hivi Ligi namba 5 kwa ubora ndio inakua na marefa wa aina hii je! Ligi namba 40 /50 itakuaje?
 
Dah ndugu yangu..hili limepita,..ila Mimi kiukweli kabisa roho yangu hainiambii hichi alichokifanya chasambi ni bahati mbaya...
Kila nerve yangu inaniambia huyu mtoto Leo katuuza asilimia zote,..hata alivyokua akicheza Leo dah ila ngoja tumuachie mungu
 
Wakupe maua yako umeupiga mwingi mkuu👏👏👏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…