Wana Simba SC tumetamba vya kutosha huenda kuanzia leo nao Wakatamba kwa kutuacha kwa Alama (Points) Mbili (2)

Kinujumu (Kinyota) na hata Kihistoria ya Klabu yetu ya Simba ikiwa na Mechi zake katika Siku za Alhamisi kama ya hii Leo huwa inapata Matokeo makubwa mawili tu ambayo ni ama Kusare au Kufungwa.

Tukishinda leo basi ni Asante Kubwa kwa Mwenyezi Mungu ila kwa Uzoefu wangu na Ubobezi wa mambo Tukuka ya Kiutamaduni (Kiafrika Afrika) leo GENTAMYCINE nina Wasiwasi / Hofu kubwa na kupata Matokeo mazuri (Ushindi)
Sawa mtaalamu Kumbe unaonaga mbali
 
Ila nafasi ya kutwaa ubingwa ipo wazi

Back
Top Bottom