Wana Simba SC tumetamba vya kutosha huenda kuanzia leo nao Wakatamba kwa kutuacha kwa Alama (Points) Mbili (2)

Dah ndugu yangu..hili limepita,..ila Mimi kiukweli kabisa roho yangu hainiambii hichi alichokifanya chasambi ni bahati mbaya...
Kila nerve yangu inaniambia huyu mtoto Leo katuuza asilimia zote,..hata alivyokua akicheza Leo dah ila ngoja tumuachie mungu
Leo hii umemkumbuka mungu🤣🤣
 
Kinujumu (Kinyota) na hata Kihistoria ya Klabu yetu ya Simba ikiwa na Mechi zake katika Siku za Alhamisi kama ya hii Leo huwa inapata Matokeo makubwa mawili tu ambayo ni ama Kusare au Kufungwa.

Tukishinda leo basi ni Asante Kubwa kwa Mwenyezi Mungu ila kwa Uzoefu wangu na Ubobezi wa mambo Tukuka ya Kiutamaduni (Kiafrika Afrika) leo GENTAMYCINE nina Wasiwasi / Hofu kubwa na kupata Matokeo mazuri (Ushindi)
Hii ndio wanasema *mgeni hataki soda anataka apewe mia sita yake
 
Njooni tuwacheke huku

😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Kinujumu (Kinyota) na hata Kihistoria ya Klabu yetu ya Simba ikiwa na Mechi zake katika Siku za Alhamisi kama ya hii Leo huwa inapata Matokeo makubwa mawili tu ambayo ni ama Kusare au Kufungwa.

Tukishinda leo basi ni Asante Kubwa kwa Mwenyezi Mungu ila kwa Uzoefu wangu na Ubobezi wa mambo Tukuka ya Kiutamaduni (Kiafrika Afrika) leo GENTAMYCINE nina Wasiwasi / Hofu kubwa na kupata Matokeo mazuri (Ushindi)
Umetisha mwanawane....ebu nisomee na mie nyota yangu nijue kama nitatoboa kwenye hili life au ndio nitaendelea kula upepo wa bodaboda
 
Back
Top Bottom