Wana Simba SC tumetamba vya kutosha huenda kuanzia leo nao Wakatamba kwa kutuacha kwa Alama (Points) Mbili (2)

Dah!..
 
Huyu Genta nilishafatilia threads zake nyingi, na mara zote (kama siyo kwa asilimia kubwa) huwa zinatimia. Sema shida ni kwamba ukishasema hivyo kuna watu wanaibuka wanasema hiyo ID yako ni ya Genta akijipromote mwenyewe. Sijui kwanini watu huwa hawakubali mitazamo tofauti?
 
Asante sana, ila leo nikuambie na iwafikie na Wengineo kuwa kamwe hapa duniani huwezi kuwa "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" kama Mimi GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE halafu USICHUKIWE wala usionewe WIVU na Wapumbavu (Mapopoma)

Asante Mwenyezi Mungu kwa Zawadi ya KARAMA Kubwa mno uliyonipa ambayo kwa Wanayoitumia inawasaidia na kufanikiwa nayo.
 
Hahahah muda ni Mwalimu mzuri sana
Huyo Mpumbavu uliyepoteza muda wako Kumjibu NILISHAMDHARAU Kitambo sana.

Anachojua ni kuja katika Mada zangu za Michezo hapa JamiiForums na Kunitusi na Kunidhalilisha ila huwa hana Jipya.

Baada ya kumjua kuwa ni "MWANAUME ASIYE MWENZETU" wala sipotezi muda wangu Kujibizana nae kwani Wanaume wenye tatizo LA kuwa "SIYO WENZETU" hivyo ndivyo alivyo.

Na najua huko alipo ANAUMIA na kuona AIBU achilia mbali kukubali nikisema kuwa Yeye ni Mpumbavu baada ya Matokeo ya Leo kutokea kama vile nilivyosema Mchana wa leo.

Cc: CAPO DELGADO
 
Ubarikiwe sana bro ushauli,wako,niliuzingatia na,mkeka umetiki japo matokeo yalinilaza na,viatu ila nilipata kibunda cha,kunipoza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…