Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Habari.
Mashabiki Wa Dar Young Africans Atuongei Kabisa Wala Kupiga Kelele Ambazo Hazina Maana Katika Kukuza Sector Wa Mpira Wetu Hapa Tanzania Na Africa Kwa Ujumla.
Imekuwa Tofauti Hivyo Ubora Na Mafanikio Yanayofanywa Na Mabingwa Young Africans Yamekuwa Yakijieleza Yenyewe Moja Kwa Moja Kutoka Uwanjani.
Sasa Tunawaacha Wachambuzi Wa Soka Hapa Tanzania Na Africa Kuizungumzia Dar Young Africans Katika Kila Nyanja Wengine Wakipiga Porojo Na Wengine Wakiumbuka Kwa Kusema Vitu Visivyoeleweka Ila Dar Young Africans Inaendelea Kufanya Mambo Makubwa Viwanjani.
Dar Young Africans Itaendelea Kuwaumbua Wapiga Kelele Kutoka Media Tofauti Tofauti Kwa Matokeo Mazuri Na Ubora Mkubwa.
Kesho Tena Wana Young Africans Tunaenda Kuingia Nusu Fainali Ya CAF Champion League Tukimtoa Mamelod Sundowns Pale South Africa Na Hapo Wale Walikuwa Wanapiga Porojo Na Kuibeza Young Africans Wataumbuka Tena.
Kila La Kheri Dar Young Africans
Nawasilisha Mzee Mkoloni.
Cc: Kichwa Kichafu