Wanaanga walioko ISS washindwa kurudi ardhini. Mlango wa Boeing hautaki kufunguka

Urusi wamefanya yao
 
Allah doesn't know jamaa wapo huko maana alisema atakayekaribu kwenda anga za juu anampiga na vimondo..
Hapo walipo hapo ni anga za juu ya dunia tu.na hao wanaopigwa vimondo ni majini wanaokwenda kwa masuala ya kutafuta umbeya wa kufitinisha duniani.
Mtume saw alipaa kwenda mbali sana ambako hakuna binadamu aliyewahi kufika na hata malaika si wote wanaoweza kufika huko isipokuwa wenye kazi maalum
 
Jaribu kufuatilia hizi habari za kisayansi ndio utamjua huyo dada sunni williams na hata utatembea ndani ya kituo cha ISS

View: https://www.youtube.com/watch?v=XD4T2zr6vt8
Nikiangalia vitu kama hivi najikuta mnyonge sana kuujua ukweli kwamba sisi weusi na wazungu tunacho-share nao ni pumzi tu hakuna kingine(Africans kwa ujumla)

Yaani sisi toka tumejiita tumejitambua karne ya 20 huko leo tupo 21 century bado vipaumbele vyetu ni vile vile maji,barabara sijui kuboresha elimu elimu zenyewe kuboresheka haziboresheki wazungu wao wanawaza kuhama sayari sisi tunawaza tufanyeje tusiwe na mgao wa umeme.
 
Africa na waafrika tumetumwa duniani kuwasindikiza wenzetu.

People wapo so advanced kwenye sayansi.

Waseme vibaya ndio utajua intelijensia yao ipo viwango gani, ingilia madaraka yao katika kuumega mkate wa nchi uone wanavyokumaliza bila huruma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…