Wanaanga walioko ISS washindwa kurudi ardhini. Mlango wa Boeing hautaki kufunguka

Mkuu, na kutekana tu.
 
Binadamu bwana! Kwa hiyo wao wanataka wawe wanaenda na kurudi wanavyotaka wao,Kwanza unaenda kufanyaje kama hutaki kubakia? We kwako sayari yako ni duniani huko kungine mnadhani ndio mliumbwa kutawala kila kitu?
Mkuu ni kama vile wewe wa Kigoma lakini unatamani kwenda London
 
Mrusi tena awasaidie hawa wajinga??
 
Nani amekata tamaa?
 
ISS siyo ya Mrusi peke yake, ni nchi zaidi ya 10 zinashiriki
Russia
Marekani
Canada
Japan
Nchi za Ulaya
Kilijengwa na Urusi.Na nchi zote zilizopewa maeneo humo ISS wakienda wanatumia vyombo vya warusi na wanaondokea Urusi eneo la Kazakhstan.Marekani baada ya miaka mingi ya majaribio ndio sasa wametengeneza vyombo vyao wenyewe kuwafikisha kwenye eneo lao.Kabla ya hapo wote walikuwa wanabebwa na mrusi mwenyewe.
 
HIyo nimeipata kwa AI
While Russia played a significant role in the construction and operation of the International Space Station (ISS), it wasn't created solely by Russia
The ISS is a collaborative project involving multiple countries, including:

United States: NASA
Russia: Roscosmos
Europe: ESA
Japan: JAXA
Canada: CSA
Each country has contributed modules, equipment, and expertise to the ISS, making it a truly international endeavor
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…