Wanachadema ripoti ya CAG hamuioni? Mbona hatusikii mkinanga juu ufisadi kama ilivyokuwa huko nyuma?

uzuri nyie maccm mmeuona ufisadi, umsingeuona chadema wangepaza sauti kama huko nyuma
 

Pesa waibe CCM kelele wapige chadema
 
Ndumilakuwili wa matumbo yao tu hao, kama ulikuwa hujui ni heri tu ungejishughulisha na viinua uchumi wako kuliko siasa za Bongo.

Wewe ndio nduminakuwili. Muwajaze CCM bungeni, halafa muwalalamikie chadema kwanini wapo kimya. CCM waendelee kula na tozo waongeze
 
Kwani ndugu yenu NGOGWE so ameitisha mkutano Jana!
 
We jamaa una matatizo. Hivi kupoteza uchaguzi 2020 ndio chuki zote hizi kwa hayati?

Simpendi kutokana na tabia zake za kidhalimu toka alipoingia madarakani 2015. isitoshe sijawahi kugombea nafasi yoyote ya kisiasa maana mimi sio mwanachama wa chama chochote cha siasa, bali shabiki nguli wa cdm.
 
Hawa walituchelewesha sana kimaendeleo. Bora wakae hivyo hivyo kimya watatuharibia. Si unaona CAG kasema wametumia milioni 9 kinyume cha utaratibu? Yaani milioni 9 zote wametumia tu? Milioni 9????
CCCM wametumia ngapi bila utaratibu?Chato Airport,fedha za mikopo,wapi 1.5 trilion?
 
Ww kenge kweli hebu ukiwa unapewa hizo buku saba uwe unakumbuka tangu uchaguzi uishe unamiaka mingapi na hiyo hela walikua wanalalamika kipindi kipi
Kipindi kile mnavyopiga kelele za upotevu wa 1.5 t mlikuwa bungeni!!?? Au na nyie mpo kwenye pay roll ya utawala huu??
 
Chadema si ilikufa baada ya uchaguzi wa 2020 ? Nendeni mkafiatilie uchambuzi wa ACT

 
Sometime show your maturity and think like a matured one! Cdm imewaachia ninyi ccm na atc mfanye mtakavyo ili uchaguzi ujao wananchi waamue Cha kuwafanya! Milioni tisa ni pesa ya kulalamikiwa? Au unataka TU kumuunga mkono huyo cag wa mchongo ili aonekane kafanya kazi? Mwambie cag aache kupamba msoga, nchi inaliwa na ccm aseme ukweli bila kupiga Kona!
 
Wewe ni Mtanzania kweli unafurahia upigaji!
 
Zimejenga na kukarabati kaburi la jiwe na kujenga ukuta kulizunguka na kuyaondoa Yale mabati yaliyokuwa yamezungushiwa!
Sasa kwa nini wasiseme ukweli kwamba hela hizo zimetumika vizuri sana kwa kujenga kaburi la shujaa wetu?
 
WANAOGOPA WATAAMBIWA MAGAIDI kwani CCM haichelewi na Policcm
 
15 April 2022

MSHAURI WA FEDHA NA UCHUMI CHADEMA ACHAMBUA RIPOTI YA CAG


Kwa undani kabisa mshauri wa Fedha na Uchumi wa CHADEMA anaaza kuchambua Ripoti ya CAG kuhusu kwanza Serikali Kuu, ripoti hii ya ukaguzi wa fedha za serikali kuu yenye kurasa zaidi ya 600 hivyo kwa leo hii inachabuliwa eneo la serikali kuu ili wananchi waelewe kwa kina ripoti hii ya kwanza
Source: DarMpya TV
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…