Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Ndio useme sasaHujui?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio useme sasaHujui?
Tabia mbaya wameuchuna wametia passwordYaani baada ya kujua kuna wanaume walijifungua hata hamu ya kujadili ikaishia hapo,hata ungekuwa wewe nguvu ungeitoa wap ??Tanzania hii watu wanasiri sana yaan wanaume wanajifungua huko hata hamsemi
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
uzuri nyie maccm mmeuona ufisadi, umsingeuona chadema wangepaza sauti kama huko nyumaMlipiga sana kelele miaka ya nyuma baada ya ripoti ya CAG kuwa inaleta tashwishwi juu ya ufisadi kufanyika.
Mlikuwa mnapaza sauti na kupayuka kuwa kuna upigaji mkubwa, hasara za ATCL na matumizi mabaya ya pesa za umma.
Swali, mbona sasa hivi mpo kimya juu ya kuchambua na kupiga kelele juu ya madudu yaliyoibuliwa?
Au sababu mlitumia mil 9 bila kufuata utaratibu?
Mlipiga sana kelele miaka ya nyuma baada ya ripoti ya CAG kuwa inaleta tashwishwi juu ya ufisadi kufanyika.
Mlikuwa mnapaza sauti na kupayuka kuwa kuna upigaji mkubwa, hasara za ATCL na matumizi mabaya ya pesa za umma.
Swali, mbona sasa hivi mpo kimya juu ya kuchambua na kupiga kelele juu ya madudu yaliyoibuliwa?
Au sababu mlitumia mil 9 bila kufuata utaratibu?
Ndumilakuwili wa matumbo yao tu hao, kama ulikuwa hujui ni heri tu ungejishughulisha na viinua uchumi wako kuliko siasa za Bongo.
Kwani ndugu yenu NGOGWE so ameitisha mkutano Jana!Mlipiga sana kelele miaka ya nyuma baada ya ripoti ya CAG kuwa inaleta tashwishwi juu ya ufisadi kufanyika.
Mlikuwa mnapaza sauti na kupayuka kuwa kuna upigaji mkubwa, hasara za ATCL na matumizi mabaya ya pesa za umma.
Swali, mbona sasa hivi mpo kimya juu ya kuchambua na kupiga kelele juu ya madudu yaliyoibuliwa?
Au sababu mlitumia mil 9 bila kufuata utaratibu?
We jamaa una matatizo. Hivi kupoteza uchaguzi 2020 ndio chuki zote hizi kwa hayati?
Nimepoa mkuu [emoji23][emoji23][emoji23]Acha hasira.
CCCM wametumia ngapi bila utaratibu?Chato Airport,fedha za mikopo,wapi 1.5 trilion?Hawa walituchelewesha sana kimaendeleo. Bora wakae hivyo hivyo kimya watatuharibia. Si unaona CAG kasema wametumia milioni 9 kinyume cha utaratibu? Yaani milioni 9 zote wametumia tu? Milioni 9????
Kipindi kile mnavyopiga kelele za upotevu wa 1.5 t mlikuwa bungeni!!?? Au na nyie mpo kwenye pay roll ya utawala huu??
Sometime show your maturity and think like a matured one! Cdm imewaachia ninyi ccm na atc mfanye mtakavyo ili uchaguzi ujao wananchi waamue Cha kuwafanya! Milioni tisa ni pesa ya kulalamikiwa? Au unataka TU kumuunga mkono huyo cag wa mchongo ili aonekane kafanya kazi? Mwambie cag aache kupamba msoga, nchi inaliwa na ccm aseme ukweli bila kupiga Kona!Mlipiga sana kelele miaka ya nyuma baada ya ripoti ya CAG kuwa inaleta tashwishwi juu ya ufisadi kufanyika.
Mlikuwa mnapaza sauti na kupayuka kuwa kuna upigaji mkubwa, hasara za ATCL na matumizi mabaya ya pesa za umma.
Swali, mbona sasa hivi mpo kimya juu ya kuchambua na kupiga kelele juu ya madudu yaliyoibuliwa?
Au sababu mlitumia mil 9 bila kufuata utaratibu?
Zimejenga na kukarabati kaburi la jiwe na kujenga ukuta kulizunguka na kuyaondoa Yale mabati yaliyokuwa yamezungushiwa!Vipi hizi za sasa unajua zimefanya nini?
Sasa kwa nini wasiseme ukweli kwamba hela hizo zimetumika vizuri sana kwa kujenga kaburi la shujaa wetu?Zimejenga na kukarabati kaburi la jiwe na kujenga ukuta kulizunguka na kuyaondoa Yale mabati yaliyokuwa yamezungushiwa!
WANAOGOPA WATAAMBIWA MAGAIDI kwani CCM haichelewi na PoliccmMlipiga sana kelele miaka ya nyuma baada ya ripoti ya CAG kuwa inaleta tashwishwi juu ya ufisadi kufanyika.