To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
Kabisa yaanAtashinda tu. Maana hajafanya usaliti bali katoa maoni yake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa yaanAtashinda tu. Maana hajafanya usaliti bali katoa maoni yake.
Wewe ndo umeanza kukijua leo? Mwenyekiti na genge lake walivyovuta mpunga ili wamsafishe Lowasa na kumpa ticket ya kugombea uraisi ulikuwa wapi?Dah! Hiki ndio chama kinachoamini siku moja kitachukua jukumu la kuendeaha Serikali ya nchi hii? Siamini!!
Dah! Hiki ndio chama kinachoamini siku moja kitachukua jukumu la kuendeaha Serikali ya nchi hii? Siamini!!
Mimi nilikuwa Chadema damu, nilipambana kukitangaza chama mpaka huku nilipo. Ila ushenzi uliofanyika mwaka 2015 umenifunza mengi. Sasa najua mbivu na mbichi, nani mpinzani wa kweli na nani sio wa kweli.Yaan sijui nao wamechoka mwee
CCM ilimsimamisha haikumfukuza. Nadhani ni misamiati miwili tofauti yenye maana mbili tofauti.Chama pia kina mambo yake ya ndani. Kuchukua dola haizuii kupishana kauli ndani ya chama. Mbona CCM juzi tu hapa walimsimamisha uanavhama kinana. Na Leo ndio Makamu Mwenyekiti. Haya mambo yapo.
Tusamehe bas brother....japo tutiane moyo tu jaman...huenda kuna siku tukafanikiwa.But why Tanzania...democracy iko wapi?Mimi nilikuwa Chadema damu, nilipambana kukitangaza chama mpaka huku nilipo. Ila ushenzi uliofanyika mwaka 2015 umenifunza mengi. Sasa najua mbivu na mbichi, nani mpinzani wa kweli na nani sio wa kweli.
Na mimi nilitaka kusema hivi hivi, ila poa ujumbe umefika.Cc
CCM ilimsimamisha haikumfukuza. Nadhani ni misamiati miwili tofauti yenye maana mbili tofauti.
Tupo pamoja Mkuu!Na mimi nilitaka kusema hivi hivi, ila poa ujumbe umefika.
Tanzania bado kuna safari ndefu ya kupata upinzani wa kweli. Maana waliopo sasa wanapigania matumbo yao na ya familia zao, tena siku hizi wanaonesha dhahiri kwa kwenda ikulu kila mara kulamba asali, mara kusema bila aibu tena kwa kujiamini kuwa washawakimbizia watoto wao Marekani wakaombe uraia wa huko huku wakiwahadaa watoto wa maskini kuwa wanawapambania.
Yani upuuzi mtupu.
Wewe ndo umeanza kukijua leo? Mwenyekiti na genge lake walivyovuta mpunga ili wamsafishe Lowasa na kumpa ticket ya kugombea uraisi ulikuwa wapi?
Mamilioni ya Sabodo aliyotoa yajenge ofisi kuu ya chama yakatafunwa wew ulikuwa wapi? Mwenyekiti anapokwenda ikulu kulamba asali kimya kimya bila kuwashirikisha viongozi wenzake wewe uko wapi?
Mimi nilikuwa chadema damu, lakini upuuzi walioufanya mwaka 2015 na kukaa mpaka leo bila kutuomba wananchi msamaha kwa upuuzi ule, imenifanya na mimi niwapuuze viongozi wote wa upinzani na siasa zao uchwara.
Kwa sasa mtu hanidanganyi maana uchaguzi wa 2015 umenisaidia kujua mbivu na mbichi. Nani mpinzani nani sio mpinzani.
Mimi nilikuwa Chadema damu, nilipambana kukitangaza chama mpaka huku nilipo. Ila ushenzi uliofanyika mwaka 2015 umenifunza mengi. Sasa najua mbivu na mbichi, nani mpinzani wa kweli na nani sio wa kweli.
Tatizo mifumo yote ya vyama vya siasa iko chini ya wale jamaa wa usalama wetu (bila shaka unawajua) wao ndio humuweka kiongozi wa chama kupitia chaguzi mbali mbali za chama.Tusamehe bas brother....japo tutiane moyo tu jaman...huenda kuna siku tukafanikiwa.But why Tanzania...democracy iko wapi?
Cc
CCM ilimsimamisha haikumfukuza. Nadhani ni misamiati miwili tofauti yenye maana mbili tofauti.
So sadTatizo mifumo yote ya vyama vya siasa iko chini ya wale jamaa wa usalama wetu (bila shaka unawajua) wao ndio humuweka kiongozi wa chama kupitia chaguzi mbali mbali za chama.
Sasa wanapoona kuna chama kinaonekana kuwa tishio kwa chama tawala na kina mpango wa kushika dola basi hutafutwa njia ya kukifubaza chama husika kupitia kwa mawakala wao ambao ndio viongozi wa juu wa vyama hivyo na matokeo yake kufifisha juhudi na jitihada za kukiondoa chama tawala madarakani.
Mimi namkubali sana Lisu, yule jamaa japo alikuwa miongoni mwa waliomeza matapishi yao kipindi kile, lakini bado anaonesha misimamo ya kichama mara kwa mara.Rudi kwenye chama tu mkuu, samehe. Viongozi hubadilika ila chama hubaki. Hata Mimi sikukubali Lowassa kuja CHADEMA, lakini CHADEMA ni Chama changu siwezi kuhama nimebaki mpka Lowassa kaondoka katuacha kwenye chama tunapambana. Karibu sana.
Wewe mwenyewe ni zaidi ya gari bovuMimi namkubali sana Lisu, yule jamaa japo alikuwa miongoni mwa waliomeza matapishi yao kipindi kile, lakini bado anaonesha misimamo ya kichama mara kwa mara.
Ila bwana mkubwa yeye ni kukipeleka peleka tu chama kama gari bovu.
Mkuu hata haya aliyoongea huyu kamanda kama asingeongea usingeyajua.Naomba nikuulize , walivuta shilingi ngapi kutoka kwa Lowassa?.
Tukimpoteza huyu, sijui. Huyu pamoja na bananga na Amani Golugwa ndio walikuwa washauri wa Lissu kwenye kampeni za 2020. Na walitembea naye kampeni nzima. Hebu tupime kosa na umuhimu wa Dr Albanie tufanye maamuzi sahihi.
Taarifa zitafika tu kwa Viongozi wa juu.
Mkuu hata haya aliyoongea huyu kamanda kama asingeongea usingeyajua.
Kikubwa ujue tu kwamba wanasiasa wa Tanzania iwe wa upinzani au wa tawala wote wapo kwa ajili ya kupigania matumbo yao na ya familia zao.
Usiache kufanya shughuli zako za kujitafutia riziki eti ukiamini kuwa mwanasiasa fulan akishika dola maisha yangu yatakuwa mazuri, Never hakuna kitu kama hicho labda kwa wanasiasa wa nchi zingine ila sio Tanzania. Watanzania sasa tunajuana.