WanaCHADEMA tuwe makini juu ya usalama wa Kamanda mwenzetu Lissu. Jukwaa kama hili linaweza kuanguka na kuleta madhara

Chukueni maarifa kwa Mwalimu Mwakasege au Mtume Mwamposa namna ya kufanya mikutano ya hadhara na maandalizi yake!
Kumbe unafahamu kabisa ni maandalizi ya ghafula na yamefaulu jambo ambalo CCM hamuwezi...Mnangoja mpaka muhula wa kufunga shule...CDM wameanza mwishoni mwa muhula
 
Kwani na Lisu yuko Kigoma? Siyo kwamba Mbowe ndiyo yuko Kigoma??

..kuna operation ya chama ktk mikoa ya kigoma, katavi, rukwa, na tabora.

..operation ilifunguliwa na mbowe akiwa na viongozi wa juu wa chama akiwemo lissu, mnyika, salum mwalimu, na wengine.

..baada ya ufunguzi inaelekea kuna timu iko na mbowe, na timu nyingine iko na lissu.

..kingine ni kwamba Mbowe alianzia kigoma moja kwa moja. Lissu alianzia morogoro, dodoma, singida, shinyanga, geita, na kuingia kigoma.
 
Unadhani hajui?!😄😀
 
Mimi nikuwa mjini kitambo sana

Nilishakueleza wakati Mbowe anahudumu kwenye kibanda cha Efefyuu pale Biiotii mimi mimi Nilikuwa namchora tu kutokea Bwawani Kilimanjaro Hotel [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Sasa kwa nini una tabia za kigagagigikoko?
Maana vijana wa mjini wa enzi zile ambao ndio watu wazima wa sasa hakuna mwenye tabia za aina hii
 
Usidhani Watu wote wa kitambo town wanamind ujanja ujanja na utapeli

Sisi wengine huwa tunawastua tu mabush stars kuwa mjini shule

Freeman anaposema alimchukua Zitto, Mnyika, Silinde na Mdee pale Mlimani siye huwa tunacheka tu!

Ahsante.
 
Ila pamoja na tu jukwaa kama hutwo jamaa bado anamfunika gaidi
 
..kuna operation ya chama ktk mikoa ya kigoma, katavi, rukwa, na tabora.

..operation ilifunguliwa na mbowe akiwa na viongozi wa juu wa chama akiwemo lissu, mnyika, salum mwalimu, na wengine.

..baada ya ufunguzi inaelekea kuna timu iko na mbowe, na timu nyingine iko na lissu.

..kingine ni kwamba Mbowe alianzia kigoma moja kwa moja. Lissu alianzia morogoro, dodoma, singida, shinyanga, geita, na kuingia kigoma.
Ooh! Asante kwa kunijuza mkuu
 
Ooh! Asante kwa kunijuza mkuu

..haya makelele na purukushani za post za kumshutumu Mbowe, Lissu, au Chadema, chanzo chake ni Chadema kutoa elimu ya Katiba Mpya kwa wananchi, na CCM kutokuwa na hoja za kupeleka kwa wananchi.
 
Ccm wanatafuta namna ya kukigawa chama (chadema) kwasabb wanaona ni tishio kwa nafasi zao ktk chaguzi zijazo. Uzushi wa mifisiemu upuuzwe!!
 
Back
Top Bottom