WanaCHADEMA tuwe makini juu ya usalama wa Kamanda mwenzetu Lissu. Jukwaa kama hili linaweza kuanguka na kuleta madhara

WanaCHADEMA tuwe makini juu ya usalama wa Kamanda mwenzetu Lissu. Jukwaa kama hili linaweza kuanguka na kuleta madhara

Wangeweka hata meza jamani
Yaani kuna watu wana roho mbaya
Yote hiyo aanguke avunje ugoko
 
Hata Yesu hakuzaliwa kwenye hotel ya nyota tano japo ingewezekana. Tunaangalia ujumbe wake na sio hii Ramli chonganishi. Au unadhani Lisu yeye mwenyewe ni mjinga hawezi kujua jukwaa ambalo si imara? Kama mna uchungu na Lisu leteni picha za CCTV kuonyesha ni akina nani walimshambulia kwa risasi pale Dodoma.
 
..wananchi hawana uwezo wa kujenga jukwaa la bei mbaya, sasa mlitaka Lissu asihutubie hapo?

..jambo la msingi ni elimu ya katiba mpya na haki za raia ambayo Lissu anaitoa kwa wananchi wa Kigoma na maeneo mbalimbali.
Ila Fedha za kukodi Chopa zipo!!

Wazee wa migombani hapo mmezingua
 
Ila Fedha za kukodi Chopa zipo!!

Wazee wa migombani hapo mmezingua

..unachokiona ktk hilo jukwaa ni ushahidi wa UCHUMI WA KATI kwa wananchi wa Kigoma.

..helikopta ni njia tu ya kuwafikia wananchi kwa wakati husika, suala la kuwakwamua wananchi kutoka ktk umasikini linahitaji muda mrefu, na linaanza kwa kuwapa elimu kuhusu HAKI zao.
 
..ubora wa majukwaa unaendana na hali ya kiuchumi ya wananchi wa eneo husika.

..waliposema Tanzania iko UCHUMI WA KATI sijui kama wananchi wa Kigoma walifikiriwa.

..unachokiona ktk hilo jukwaa ni ushahidi wa UCHUMI WA KATI kwa wananchi wa Kigoma.

..helikopta ni njia tu ya kuwafikia wananchi kwa wakati husika, suala la kuwakwamua wananchi kutoka ktk umasikini linahitaji muda mrefu, na linaanza kwa kuwapa elimu kuhusu HAKI zao.
Chukueni maarifa kwa Mwalimu Mwakasege au Mtume Mwamposa namna ya kufanya mikutano ya hadhara na maandalizi yake!
 
..wananchi hawana uwezo wa kujenga jukwaa la bei mbaya, sasa mlitaka Lissu asihutubie hapo?

..jambo la msingi ni elimu ya katiba mpya na haki za raia ambayo Lissu anaitoa kwa wananchi wa Kigoma na maeneo mbalimbali.
Umewaambia kweli watu hawa. Hilo jukwaa amejengewa na wananchi wenyewe masikini i Lissu apande hapo na kuwapa elimu juu ya Katiba mpya na tume. Ujumbe wameupokea na wasaidizi wa Lissu waliona hapo pako salama. Hata kama wangeleta meza apande juu yake angepanda na kuhutubia.
Ajabu watu wanaoheshimika kama johnthebaptist wanaingilia hoja ya kipumbavu kama hii na kuishepelea.
Wakati mwingine watu sio lazima wakupuuze kwa kutembea uchi au kujisaidia ndani ya nguo, hata kutoa hoja za kibwege kama hizi.
Hao CCM waende huko Iringa kisha ASAS atawajengea jukwaaa kwa hiari au kwa masharti na kwingineko. Chadema wao na masikini wao ili wapate ufahamu kiini cha umasikini wao
 
Back
Top Bottom