Kumbe unafahamu kabisa ni maandalizi ya ghafula na yamefaulu jambo ambalo CCM hamuwezi...Mnangoja mpaka muhula wa kufunga shule...CDM wameanza mwishoni mwa muhulaChukueni maarifa kwa Mwalimu Mwakasege au Mtume Mwamposa namna ya kufanya mikutano ya hadhara na maandalizi yake!
Haya nimeacha boss wangu!Acha roho mbaya
Hii ni hatari!View attachment 2629908
π€£π€£π€£π€£π€£Ila chadema......
Kwani na Lisu yuko Kigoma? Siyo kwamba Mbowe ndiyo yuko Kigoma??
Mungu anawaonaππIla chadema......
Unadhani hajui?!ππ..kuna operation ya chama ktk mikoa ya kigoma, katavi, rukwa, na tabora.
..operation ilifunguliwa na mbowe akiwa na viongozi wa juu wa chama akiwemo lissu, mnyika, salum mwalimu, na wengine.
..baada ya ufunguzi inaelekea kuna timu iko na mbowe, na timu nyingine iko na lissu.
..kingine ni kwamba Mbowe alianzia kigoma moja kwa moja. Lissu alianzia morogoro, dodoma, singida, shinyanga, geita, na kuingia kigoma.
Sasa kwa nini una tabia za kigagagigikoko?Mimi nikuwa mjini kitambo sana
Nilishakueleza wakati Mbowe anahudumu kwenye kibanda cha Efefyuu pale Biiotii mimi mimi Nilikuwa namchora tu kutokea Bwawani Kilimanjaro Hotel [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Usidhani Watu wote wa kitambo town wanamind ujanja ujanja na utapeliSasa kwa nini una tabia za kigagagigikoko?
Maana vijana wa mjini wa enzi zile ambao ndio watu wazima wa sasa hakuna mwenye tabia za aina hii
Mungu anawaona π€£π€£Ila chadema......
Au nae ni Rais wa Wanyonge? ππHii ni hatari!View attachment 2629908
Ooh! Asante kwa kunijuza mkuu..kuna operation ya chama ktk mikoa ya kigoma, katavi, rukwa, na tabora.
..operation ilifunguliwa na mbowe akiwa na viongozi wa juu wa chama akiwemo lissu, mnyika, salum mwalimu, na wengine.
..baada ya ufunguzi inaelekea kuna timu iko na mbowe, na timu nyingine iko na lissu.
..kingine ni kwamba Mbowe alianzia kigoma moja kwa moja. Lissu alianzia morogoro, dodoma, singida, shinyanga, geita, na kuingia kigoma.
Ooh! Asante kwa kunijuza mkuu
Ccm wanatafuta namna ya kukigawa chama (chadema) kwasabb wanaona ni tishio kwa nafasi zao ktk chaguzi zijazo. Uzushi wa mifisiemu upuuzwe!!..haya makelele na purukushani za post za kumshutumu Mbowe, Lissu, au Chadema, chanzo chake ni Chadema kutoa elimu ya Katiba Mpya kwa wananchi, na CCM kutokuwa na hoja za kupeleka kwa wananchi.
PumbavuSawa Ila Mpaka Adondoke Hapo Lazima Awe Na Kg Zaidi Ya Tani Moja