Wanachadema walalamika kutoshirikishwa kabla ya viongozi makao makuu kutoa kauli ya "no reform, no election", wasema demokrasia imesiginwa

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Demokrasia ndani ya chama imesiginwa!!! Ndio kauli ya wanachama mashinani wakilalamika kwamba chama kimetoa maamuI mazito bila kuwashirikisha wala kupata ridhaa yao.

Wanachama hao wanasema haiwezekani unazuia haki ya kikatiba ya wananchama kupiga kura halafu hujawashirikisha.

Wadau hao wa chama wanasema kama wangeshirikishwa, viongozi wakuu wa chama wasingekuwa wanapanua makoo na midomo kujaribu kuelezea agenda hiyo, ila wana chama wangekuwa wanaisemea tu.

Wanasema uamuzi wa chama ni wa viongozi, lakini wait wanachama wa ngazi za chini wako tayari kushiriki uchaguzi kama ilivyokuwa zamani, pamoja na mapungufu ya hapa na pale.

Baadhi wanasema ni ubinafsi tu wa viongozi wa makao makuu kwa kuwa chama kilishawahi kustawi katika mfumo huu huu wa uchaguzi.

Masologo Manyege!!!
 
Haki ya kupigiwa kura na kupiga kura ni haki ya kikatiba ya nchi haiwezekani kikundi kidogo cha viongozi Chadema wakazuia haki ya wanachama walio wengi wanaotaka kugombea ubunge na udiwani na wana wapiga kura wao ambao wako tayari kuwapigia kura kwenye maeneo yao

Huo udikiteta unatakiwa kupingwa na wana demokrasia walio.ndani ya Chadema
 
Wanachadema hao hao walikuwa wanataka kuachana na uchaguzi wa kuzurumiwa Kila Mwaka ..hiyo ni chadema ccm watu washiriki Kisha mseme tumeshinda kwa kishindo . Ulishaona wapi katika ulingo wa ngumi mmoja kafungwa mikono yote miwil hajibu mapigo yeyote na ukatoka pale ukasema umeshinda.
 
Demokrasia ndani ya chama imesiginwa!!! Ndio kauli ya wanachama mashinani wakilalamika kwamba chama kimetoa maamuI mazito bila kuwashirikisha wala kupata ridhaa yao.

Wanachama hao wanasema haiwezekani unazuia haki ya kikatiba ya wananchama kupiga kura halafu hujawashirikisha.

Wadau hao wa chama wanasema kama wangeshirikishwa, viongozi wakuu wa chama wasingekuwa wanapanua makoo na midomo kujaribu kuelezea agenda hiyo, ila wana chama wangekuwa wanaisemea tu.

Wanasema uamuzi wa chama ni wa viongozi, lakini wait wanachama wa ngazi za chini wako tayari kushiriki uchaguzi kama ilivyokuwa zamani, pamoja na mapungufu ya hapa na pale.

Baadhi wanasema ni ubinafsi tu wa viongozi wa makao makuu kwa kuwa chama kilishawahi kustawi katika mfumo huu huu wa uchaguzi.

Masologo Manyege!!!
CDM ishiriki au isishiriki general election, there will be no any significant POLITICAL MAYHEM, ni CCM mbele kwa mbele. I am sorry for my DISTURBING factual and blunt statement:tenseSmash:
 
Wanachadema hao hao walikuwa wanataka kuachana na uchaguzi wa kuzurumiwa Kila Mwaka ...
Chini hawakusema hivyo ni viongozi huko juu Chadema ndio walitoa maamuzi ya hiyo kauli

Wala sio kauli ya wana Chadema mashinani
Ndio maana viongozi wa juu wanahangaika kutaka kuwaelimisha maana ya hiyo kauli.mbiu maana sio yao ni ya viongozi wa juu na wanaitumia kama sababu ya kuzurura huko na huko kwa kujilipa pisho za pesa za chama kwa kisingizio cha kutoa elimu Wanejitungia kauli ya kuwapa ulaji kwa kisingizio cha kuwaelimisha wana Chadema Wizi mtupu

Hiyo kauli mbiu ingekuwa imetoka kwa Wanachadema wa Chini matawini kusingekuwa na haja ya hicho kinachoitwa kuwaelimisha.Wangekuwa wanajua
 
Haki ya kupigiwa kura na kupiga kura ni haki ya kikatiba ya nchi haiwezekani kikundi kidogo cha viongozi Chadema wakazuia haki ya wanachama walio wengi wanaotaka kugombea ubunge na udiwani na wana wapiga kura wao ambao wako tayari kuwapigia kura kwenye maeneo yao

Huo udikiteta unatakiwa kupingwa na wana demokrasia walio.ndani ya Chadema
Kweli kabisa
 
ubovu wa katiba yetu unaonekana hapa sasa kwa maana wangeruhusiwa kugombea binafsi bila chama katiba ingekuwa inaruhusu
 
you are not alone, but you can overcome this and live happily
 
Demokrasia ndani ya chama imesiginwa!!! Ndio kauli ya wanachama mashinani wakilalamika kwamba chama kimetoa maamuI mazito bila kuwashirikisha wala kupata ridhaa yao.

Wanachama hao wanasema haiwezekani unazuia haki ya kikatiba ya wananchama kupiga kura halafu hujawashirikisha.

Wadau hao wa chama wanasema kama wangeshirikishwa, viongozi wakuu wa chama wasingekuwa wanapanua makoo na midomo kujaribu kuelezea agenda hiyo, ila wana chama wangekuwa wanaisemea tu.

Wanasema uamuzi wa chama ni wa viongozi, lakini wait wanachama wa ngazi za chini wako tayari kushiriki uchaguzi kama ilivyokuwa zamani, pamoja na mapungufu ya hapa na pale.

Baadhi wanasema ni ubinafsi tu wa viongozi wa makao makuu kwa kuwa chama kilishawahi kustawi katika mfumo huu huu wa uchaguzi.

Masologo Manyege!!!
Kwanza wanachadema yaani wanachama pammoja na mashabiki wanatofautiana jambo mmoja kuu.
Msimamo wa viongozi na msimamo wa wapenzi na wanachama.
Wapo wanaotaka msimamo wa Lissu leadership ndio uwe msimamo wa Chadema.
Lakini wapo wengi tena wachangiaji fedha kukiinua chama wanaotaka sera na misimamo ya chama itokane na hao wafia chama wanaochangishwa kukiimarisha chama na si vinginevyo.

Hao top brass baadhi yao ni wasaka tonge kama Lissu aliyevihama vyama kadha hadi Chadema.Na tumeshuhudia influx ya vijana waliokuwa hadi wabunge walivyohamia CCM enzi za Raisi Magufuli ili kupata vyeo kwenye serikali ya Magufuli.

Chadema ya Mbowe no more.Sasa tuna
Chadema ya Lissu inayopongezwa na wasaka deal hata kabla kufanya jambo lolote la msingi.

Kwa kifupi Chadema is compromised nadhani wananchi sio wajinga,wamepuuzia wasaka tonge.
Very funny eti umeshindwa uchaguzi unathubutu kuwaambia watu tuandamane ili tupate nini? Mwambie mke wako na watoto wako waandamane Nonsense.
 
Sensible and responsible fact
 
What's awamu? it's us who pays for projects and politicians upkeep, awamu zitapita owners of the country hawana awamu, pls be a responsible citizen
 
I am a responsible senior citizen
 
Demokrasia ndani ya chama imesiginwa!!! Ndio kauli ya wanachama mashinani wakilalamika kwamba chama kimetoa maamuI mazito bila kuwashirikisha wala kupata ridhaa yao.

Wanachama hao wanasema haiwezekani unazuia haki ya kikatiba ya wananchama kupiga kura halafu hujawashirikisha.

Wadau hao wa chama wanasema kama wangeshirikishwa, viongozi wakuu wa chama wasingekuwa wanapanua makoo na midomo kujaribu kuelezea agenda hiyo, ila wana chama wangekuwa wanaisemea tu.

Wanasema uamuzi wa chama ni wa viongozi, lakini wait wanachama wa ngazi za chini wako tayari kushiriki uchaguzi kama ilivyokuwa zamani, pamoja na mapungufu ya hapa na pale.

Baadhi wanasema ni ubinafsi tu wa viongozi wa makao makuu kwa kuwa chama kilishawahi kustawi katika mfumo huu huu wa uchaguzi.

Masologo Manyege!!!
Kaa kwa kutulia binti!
 
Haki ya kupigiwa kura na kupiga kura ni haki ya kikatiba ya nchi haiwezekani kikundi kidogo cha viongozi Chadema wakazuia haki ya wanachama walio wengi wanaotaka kugombea ubunge na udiwani na wana wapiga kura wao ambao wako tayari kuwapigia kura kwenye maeneo yao

Huo udikiteta unatakiwa kupingwa na wana demokrasia walio.ndani ya Chadema
Wewe ni kipofu
 
Back
Top Bottom