chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Demokrasia ndani ya chama imesiginwa!!! Ndio kauli ya wanachama mashinani wakilalamika kwamba chama kimetoa maamuI mazito bila kuwashirikisha wala kupata ridhaa yao.
Wanachama hao wanasema haiwezekani unazuia haki ya kikatiba ya wananchama kupiga kura halafu hujawashirikisha.
Wadau hao wa chama wanasema kama wangeshirikishwa, viongozi wakuu wa chama wasingekuwa wanapanua makoo na midomo kujaribu kuelezea agenda hiyo, ila wana chama wangekuwa wanaisemea tu.
Wanasema uamuzi wa chama ni wa viongozi, lakini wait wanachama wa ngazi za chini wako tayari kushiriki uchaguzi kama ilivyokuwa zamani, pamoja na mapungufu ya hapa na pale.
Baadhi wanasema ni ubinafsi tu wa viongozi wa makao makuu kwa kuwa chama kilishawahi kustawi katika mfumo huu huu wa uchaguzi.
Masologo Manyege!!!