WanaCHADEMA wengi hatupendi namna Mbowe alivyolamba asali ila hatuna namna maana hatuna maamuzi

Walalamikie wanaogawa asali ambayo ndo kodi yako.
 
Mission ya ccm na CHADEMA imeshakamilika kwa nchi YANGU TANZANIA!!

Ni muda wa Taasisi zote kufa kifo cha asili!Na Taasisi Mpya zitazaliwa!ndizo zitakazo shika hatamu Baada ya katiba Mpya kupatikana!

TUSUBIRI
 
chadema gani wanakuwaga no hoja za kimbea hivi?
 
Chadema hawana mashoga kama wewe
 
Mbowe yupi unamyezungumzia?

Huyu aliyewagaragaza na kesi feki ya kubumba ?

Mbowe huyu huyu mliyembomolea miradi yake ili mumdhoofishe kisiasa?

Mbowe huyu huyu mliyekua mnatumia majambazi yanayokaa ofisi ya umma kwa kivuli cha ukuu wa wilaya kuvamia hotelini kwake na kuteka walinzi?

Mbowe huyu huyu ambaye video ipo akimwambia huwezi kushinda uchaguzi ilhali kura hazijapigwa tafsiri yake ilikuwa ni rahisi CCM kura walikuwa nazo tayari kwenye box wananchi walienda kukamilisha ratiba.

You can't be serious dude.
 
Marekebisho.... Wanachadema wengi hawapendi na sio hatupendi!! Acha ujinga yuuu viii sisiemu ww..
 
Chawa mkubwa India nembo ya Chadema kwenye profile yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…