Wanachadema wote waliosimama na wananchi wakati wa JPM majimbo Yao yanawasubiri warejeshewe Ubunge wao. Wana CCM waliobweteka mtaa unawasubiri

Wanachadema wote waliosimama na wananchi wakati wa JPM majimbo Yao yanawasubiri warejeshewe Ubunge wao. Wana CCM waliobweteka mtaa unawasubiri

Msimamo wa CDM kama chama hautabiriki, lakini sisi wapiga kura tunaojitambua bila tume huru ya uchaguzi au katiba mpya, hatutojitokeza kupiga kura kwenye huo upuuzi uitwao uchaguzi.
Sawa, wacha tusubiri hiyo miaka.
 
Itategemea uchaguzi utakavyoendeshwa,
Sasa unafikiria wagombea wa CHADEMA tu wakienguliwa kwa sababu ya kukosea kujaza fomu au mawakala wao tu wakizuiwa kuingia vituoni watayakubali hayo matokeo?!
Na matokeo yake wataya tambua na kuya kubali ?
 
Itategemea uchaguzi utakavyoendeshwa,
Sasa unafikiria wagombea wa CHADEMA tu wakienguliwa kwa sababu ya kukosea kujaza fomu au mawakala wao tu wakizuiwa kuingia vituoni watayakubali hayo matokeo?!
Kosa watakuwa wametenda toka kabla hata ya kuenguliwa majina yao na mawakala wao kuzuiwa kuingia ndani ya vituo.
 
Back
Top Bottom